Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari ? Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na michakato ya Kuhama kupitia Uhamisho_ Mfano Mtu anaeomba kuhama kutoka halmashauri 'z' kwenda taasisi za elimu ya juu mfano Udom, Udsm,Mwalimu...
1 Reactions
15 Replies
632 Views
Anonymous
Mimi ni Ajira Mpya Wilaya ya Ulanga/Mahenge Morogoro, mpaka Sasa hatujalipwa pesa ya kujikimu na kila tukijaribu kuuliza viongozi wa halimashauri hawatoi majibu yeyote ni lini tutalipwa fedha...
2 Reactions
6 Replies
157 Views
Anonymous
Mimi ni Afisa Mtendaji niliyeajiriwa mwaka 2024 katika Wilaya ya Hai, Idara ya Utawala. Tangu nianze kazi hadi leo, sijawahi kupatiwa fedha ya kujikimu kama inavyotakiwa. Kinachoniumiza zaidi ni...
1 Reactions
3 Replies
103 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi katika Wilaya ya Hai, nikiwa nafanya kazi kama Afisa Mtendaji tangu nilipoajiriwa mwaka 2024. Tangu nianze kazi hadi leo, sijawahi kupatiwa fedha ya kujikimu, jambo ambalo...
1 Reactions
2 Replies
86 Views
Anonymous
Mamlaka husika zinazingatia sheria gani katika kupandisha madaraja ya watumishi specifically (waalimu)? kwani kuna walioajiriwa July 2022 na kuthibitishwa July 2023. Baadhi ya wilaya...
1 Reactions
4 Replies
202 Views
Anonymous
Tukiwauliza viongozi hatupewi majibu tunaishiwa kutishiwa tu na kujibiwa kisiasa kuwa akama ni haki yetu tutaipata hata kwa kuchelewa sana
0 Reactions
2 Replies
119 Views
Anonymous
Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025 hatujalipwa fedha za kujikimu, Viongozi wanatupuuza Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Chamwino Kada ya Afya tulioripoti March 2025, hatujalipwa fedha...
1 Reactions
5 Replies
211 Views
Anonymous
Ni kuhusiana na agizo la serikali kuhusu kima cha chini cha mshahara kuwa shilingi 308,000. Pamoja na maelekezo hayo kutolewa na kurudiwa mara kadhaa, kuna baadhi ya makampuni bado hayatekelezi...
1 Reactions
5 Replies
167 Views
Anonymous
Sisi Watumishi wa Afya kutoka Wilaya ya Geita DC tulioajiriwa kuanzia mwezi January 2026 hatujalipwa pesa za kujikimu na uongozi wa hautupi ushirikiano wowote. Soma Pia: Simiyu Itilima DC...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Anonymous
Habari, tunaomba msaada wa kutupazia sauti juu ya changamoto kubwa tunazokumbana nazo sisi watumishi katika Wilaya ya Hai. Mimi ni Afisa Mtendaji niliyeajiriwa mwaka 2024 katika Wilaya ya Hai...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Anonymous
"Mimi ni mtumishi hapa Kituo cha Afya Sabasaba Health Center, Morogoro. Ningependa kueleza kero kubwa inayotuumiza na inayohitaji uchunguzi wa dharura kutoka mamlaka za juu. Ndani ya kituo chetu...
1 Reactions
3 Replies
111 Views
Anonymous
OW-TAMISEMI wanatumia vigezo gani kuhamisha mishahara na taarifa za utumishi? Kama wanataka rushwa waseme ili niwatumie wanihamishie taarifa zangu, haiwezekani mwaka wa pili huu tangu nihamie...
1 Reactions
2 Replies
177 Views
Anonymous
AJIRA MPYA 2024 HÀLMASHAURI YA MJI TARIME HATUJALIPWA FEDHA ZA KUJIKIMU.
0 Reactions
1 Replies
72 Views
Kero yetu sisi wafanyakazi wa Kampuni ya BCEG Construction. Tunaomba Waziri wa Ujenzi au Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam afike kwenye mradi wetu uliopo Mbezi Beach, karibu na Ramada au Whitesands—ni...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Anonymous
Watumishi wapya wa Singida DC tunaomba ufafanuzi kuhusu posho ya kujikimu tuliyolipwa. Kiasi tulichopokea ni kidogo tofauti na tulivyotarajia kwa mujibu wa utaratibu unaofahamika, na hakuna...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Anonymous (ac00)
Habari za wakati huu! Mimi ni mtumishi wa umma , ambaye nimekuja kuwakilsha watumishi wa chini ya Tamisemi ambao ni Afya na Elimu ambao kwa sasa wapo chini ya Halmashauri ya Manispaa ya...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Anonymous
Huku Kasulu Mji, Ajira Mpya ya 2021 mpaka sasa hatujalipwa hela ya kujikimu yote, tulilipwa kiduchu ukienda kudai wanakwambia subiri hela ikingia utapata kweli tangu Mwaka 2021 mpaka leo 2026...
0 Reactions
3 Replies
139 Views
Anonymous
Mimi ni mtumishi wa afya katika Halmashauri ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, nikiwa katika ajira mpya ya mwezi Januari 2026. Hadi sasa hatujapewa Fedha za Kujikimu, na kila tunapojaribu kuuliza...
0 Reactions
1 Replies
81 Views
Anonymous
Mimi ni daktari tarajali (intern doctor) katika Morogoro Regional Hospital, na tunakumbana na changamoto kubwa ya kutolipwa posho zetu kwa wakati. Hadi sasa tumekaa takribani miezi miwili bila...
1 Reactions
5 Replies
142 Views
Anonymous
Tuna kilio chetu cha Waalimu wa Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya ya KALAMBO Mkoa wa RUKWA, tumeajiriwa tangu Mwaka 2025 mwezi wanne, mpaka leo tuko mwezi wa tano 2026 bado hatujathibitishwa...
1 Reactions
10 Replies
264 Views
Back
Top Bottom