Habari anahitajika dereva wa bajaji (used ) ya mkataba.
Dodoma mjini mkataba ni mwaka mmoja.
Vigezo
- Awe na leseni
-Mdhamini mmoja
Kwa yeyote aliye tayari anicheck whatsapp 0743315931...
Mimi ni mtumishi wa Kada ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, kwa zaidi ya miaka sita sasa nikiwa kazini, nimekuwa nikikumbana na changamoto kubwa zinazofanya watumishi...
Habarii WanaJamiiForums.
Changamoto na ni kero yangu kwenda kwa Wizara na Tume ya Ajira (Ajira Portal). Mimi ni kijana wa Kitanzania nimehitimu elimu yangu ya Form Four Mwaka 2018, pamoja na...
Enzi za kutafuta kazi serikalini kwa kuzunguka na bahasha za kaki mkononi kutoka ofisi moja hadi nyingine zilionekana kufika ukingoni pale serikali kupitia Sekretarieti ya Ajira ilipoanzisha mfumo...
Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa...
Watumishi wa Ajira Mpya Kada ya Afya hadi leo hatujalipwa pesa zetu za kujikimu Halmashauri ya Wilaya ya Kahama na hakuna response yoyote hadi sasa tangu Januari 2026 na mwaka wa fedha unakaribia...
Sisi Ajira mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya Kwimba Mkoa wa Mwanza tuna karibia miezi sita sasa tangu tuajiriwe lakini kila tukiulizia kuhusu fedha za kujikimu hatupewi jibu lolote, tuliajiriwa...
Halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro hawalipi fedha za kujikimu, mtumishi anafika hadi mwaka kazini lakini hajawahi kupata kulipwa.
Siku za nyuma walishatuambia tuandike barua za...
1. Watumishi wapya wa 2024, wa Wizara ya Afya Kitengo cha Porthealth Services hawajathibitishwa kazini hadi leo na wanakaribia miaka miwili kazini, hali ambayo inawanyima haki yao ya kupata mkopo...
Kwa muda sasa hatupatiwi call allowance,, Extra duty allowance hali inayopelekea kukosa morali ya kazi.
Mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi wa 10/2025 nayo hayo malipo yalikuwa ya extra duty na...
Tarehe 30, vijana walioomba nafasi za 'admission officer' wanakwenda kukutana na mtihani wa mchujo ili kuweza kuwapata wachache watakopita hatua ya pili.
Nafasi hizi zina waombaji zaidi ya 3,000...
Mimi ni Mkazi wa Mwanza, nimesoma Course ya Mortuary Attendant. Course yetu huwa hutolewa kwa Certificate, hadi sasa tumefika wafanyakazi 200 wa fani hiyo lakini cha kushangaza Serikali imejenga...
Vibanda vya biashara.
Tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao na bodi.
Vibanda ni imara na haviharibiki kwa maji( finishing tunatumia stika hivyo huzuia maji kuingia kwny bodi au mbao pia...
A reputable hospitality company based in Dar es Salaam is urgently seeking to recruit qualified and experienced Accountants to join our team.
Location: Dar es Salaam
Positions Available: 2
Key...
Habari ? Naomba kuuliza kwa wenye uzoefu na michakato ya Kuhama kupitia Uhamisho_ Mfano Mtu anaeomba kuhama kutoka halmashauri 'z' kwenda taasisi za elimu ya juu mfano Udom, Udsm,Mwalimu...
Mimi ni Ajira Mpya Wilaya ya Ulanga/Mahenge Morogoro, mpaka Sasa hatujalipwa pesa ya kujikimu na kila tukijaribu kuuliza viongozi wa halimashauri hawatoi majibu yeyote ni lini tutalipwa fedha...
Mimi ni Afisa Mtendaji niliyeajiriwa mwaka 2024 katika Wilaya ya Hai, Idara ya Utawala. Tangu nianze kazi hadi leo, sijawahi kupatiwa fedha ya kujikimu kama inavyotakiwa.
Kinachoniumiza zaidi ni...
Mimi ni mtumishi katika Wilaya ya Hai, nikiwa nafanya kazi kama Afisa Mtendaji tangu nilipoajiriwa mwaka 2024. Tangu nianze kazi hadi leo, sijawahi kupatiwa fedha ya kujikimu, jambo ambalo...
Mamlaka husika zinazingatia sheria gani katika kupandisha madaraja ya watumishi specifically (waalimu)? kwani kuna walioajiriwa July 2022 na kuthibitishwa July 2023.
Baadhi ya wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.