Husika na kichwa cha habari hapo juuu.mnadhana mmewah kuskia hii kazi za unv wenyewe wanaziita volunteer assignments
Mm kuna moja nmeomba nmetumiwa email nmeaambiwa "profile imekuwa submitted to...
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji John Masunga, atangaza nafasi za kazi kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).
MSAADA UNAHITAJIKA
Kwanza kabisa niwape pole kwa shughuli zenu za hapa na pale.
Mimi nimefanikiwa kubadilishana na Mtu wa Kaliua mkoa wa Tabora. Kwahiyo mda sio mrefu nahamia Kaliua.
Tatizo...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Shifaa Mwembetanga, Wilaya ya Mjini, Unguja.
Alhaj...
Je wewe ni kijana mwenye nguvu, mchapakazi, mbunifu na mwaminifu?
Anatakiwa kijana wa kiume atakayeweza kufanya kazi za bustanini.
Piga simu sasa ukiwa na barua ya mdhamini wako mwenye kadi ya...
Kuna mabinti watatu wanatafuta kazi
Umri ni miaka 21,20,18,
Elimu kidato cha nne,
Wanauzoefu wa kutosha na kazi zote za nyumbani.
Mimi nafahamia na binti mmoja huyo wa miaka 21, hao wengine ni...
Jinsia (Ke)
Amesoma Diploma in Pharmaceutical Science kutoka chuo cha Kilimanjaro School of Pharmacy
Registered with the Pharmacy Council of Tanzania (Ana leseni)
Ana uzoefu wa kazi kwa mwaka...
Habari, mimi ni Pharmtech Tech., nina liseni, nilikuwa nahitaji kazi.
Naishi Dar es Salaam-mwenge, pia naweza fanya kazi as full time, part time and night shift.
Napatikana kwa number...
Habari zenu wanajukwaa!
Mie Ni kijana wa kitanzania.
Shida yangu nakuja kwenu kuomba Ajira mwenye kuweza kunisaidia iwe kwa kuniunganisha mahala nitashukuru.
Nina Hali mbaya mno ndugu mpaka...
Habari za leo wandugu, naomba kuuliza hivi hizi barua za kujitolea zikishaandikwa unapotaka kupeleka katika ofisi/Kampuni huwa inatakiwa imfikie nani HR au MANAGER!? Ili nipate majibu na uakika wa...
Habari wanandugu,
Mimi ni graduate geologist kwa kipindi cha mwaka mmoja nimejaribu kuomba kazi kwenye migodi mbali mabali kakini nimeshindwa kabisa kuitwa hata sehenu moja
Nawaza huenda sina...
Mambo niaje wadau; Nimeamua kufuatilia vichenji vyangu ambavyo vipo psssf na Nssf, wale ambao wameshapply wakapata na wengine waliokutana na changamoto za hapa na pale naombeni uzoefu. Nina kama...
Habari za wakati huu ndugu walimu na Watanzania wenzangu,
Naitwa Mwl. Emmanuel, naomba kama kuna mtu anafahamu shule yoyote inayohitaji mwalimu wa masomo ya physics na chemistry, advanced level &...
Habari wakuu,
Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi.
Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili?
Miaka 39 kazini Serikalini.
Mafao hayazidi 10Million
Mshahara...
Habari.
Nimeeandaa Cv vizuri na nina uzoefu wa kazi mzuri.
Mwezi uliopita na mwezi nimefanya interview tatu kiukweli sijabahatika Kupata kazi kote.
Moyo wangu uwa unaumia sana,mara zote...
Wakuu salaam, naomba niende moja kwa moja kwenye madam tajwa hapo juu
Sekretariet ya utumishi ya umma inachekesha na kuhuzunisha wakati mwingine
Eti leo, mie nimepitia kwenye a/c yangu ya kuomba...
Uwezo wangu nilio nao ni mtaji namba moja na mtaji namba mbili ambao ni pesa bado sipo poa,
Nina uwezo wa kuedit picha, video za miziki, harusi na sherehe mbali mbali, pia ni fundi wa umeme wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.