Wadau natumaini wote mpo salama.
Samahani je ni sawa kwa mwajiri kusitisha mkataba wa miezi 8 mbele kwa sababu za kiuendeshaji na kudai ni lazima mwajiriwa aweke sahii katika hati ya makubaliano...
Masahihisho: Nimeandika GPSA kwenye kichwa cha habari kimakosa, neno sahihi ni TANEPS.
Nimesikia kwamba unaweza omba zabuni kwa taasisi yeyote ya serikali kwa kutumia mfumo wa TANEPS, lakini...
TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL (T.O.I.S) TEACHERS NEEDED
Job Summary
We are looking for primary school teachers in our school in Dar Es Salaam
Recommended:
Minimum Qualification: Certificates...
Habarin Wana JF heshima yenu wote 🙏🏾 natumaini wote ni wazima kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima anao tujaalia kila siku itwapo Leo.
Ndugu zangu mbele yenu ni kijana mtanzania nina ishi dar...
Habari za wakati huu,
Hili suala la usaili kufanyika Dodoma lizingatiwe tena na tena, sikatai lengo lilikuwa ni jema ila changamoto zimekuwa ni nyingi unakuta mtu anaitwa usaili wa kuandika...
Habari zenu wanaJF
Naona siku hizi kumekuwa na majina ya nyongeza sana kwenye usaili kutoka sekretarieti ya ajira. Na nahisi hii inatokea baada ya wengi mfumo kuwakataa na kupeleka malalamiko na...
Habari zenu wakuu na samahani nilikuwa naomba kujua kwa wale wanaofanya application kwa nafas za kazi pccb mimi kila nikiattach doc mfano kama cheti ile option ya kuapload haifany kaz hii imekaaje
Naitwa Mudi mkazi wa Mbagala umri mika 30. Natafuta kazi au kibarua cha kufanya popote ndani au nje ya Dar kikubwa iwe ya uhakika na pia nimesomea Ualimu wa Masomo ya Sanaa Geography na History...
Mimi nimuhitimu wa kozi ya afya (diploma in pharmaceutical sciences)city college dar es salaam nimemaliza mwaka jana pia nina Leseni ya pharmacy council..nilikuwa naomba either nafasi ya kufanya...
The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s Central Bank is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant...
Habari zenu ndugu zangu poleni na majukumu nilikua naomba kufahamu interview za written zinakuaje utumishi upande wa electrical technician ikiwezekana na baadhi ya maswali ambayo huulizwa...
Ninauzoefu usiopungua miaka mitatu katika utengenezaji wa vipindi vya televisheni kama vile matukio kama harusi,mikutano,makala na talk shows .
Nina elimu ya chuo kikuu.
Nina weza kushoot events...
Nimeona katika taasisi nyingi sana Maafisa Utumishi wamekuwa na tabia ya kuingiza makato kuchangia vyama vya wafanyakazi bila ya idhini ya mwanachama.
Hii imekaaje Kisheria kwa wale wajuzi...
Najua huu ni wakati wa job hunting kwa wahitimu wengi. Moja ya hatua muhimu za kupata ajira ni kuitwa kwenye usaili yaani interview.
Kujiamini wakati wa usaili ni jambo la msingi na ambalo lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.