Barua ya kujitolea kufanya kazi ofisini/kampuni

Wendo94

New Member
Jan 22, 2023
3
4
Habari za leo wandugu, naomba kuuliza hivi hizi barua za kujitolea zikishaandikwa unapotaka kupeleka katika ofisi/Kampuni huwa inatakiwa imfikie nani HR au MANAGER!? Ili nipate majibu na uakika wa kupata kazi hiyo ya kujitolea na ninapopeleka je napeleka na vyeti na CV zangu au barua tu pekeyake?
 
Inategemea na aina ya kampuni na organization structure yao...basically HR ndo mwajiri so it's better ukimuona yeye.

Kuhusu CV kwani hawajaeleza kwenye hiyo job vacancy mkuu vitu vinavyo hitajika?

Kama upo dilema basi kuwa na vyote

Sent from my TA-1053 using JamiiForums mobile app
 
Hawajaandika pale, niko dilema kweli inabidi nibebe vyote ili ata wakiomba niwe navyo.
Asante kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom