Hii ni fursa kwa vijana kuchangamkia.
TATIZO Huwa wanajaa kwenye kulana kimasihara.
Dahhhh
TANZANIA YANGU.
Kwamba ni ndogo..? Ko ilitakiwa alipwe ngapi?Laki 7 dar mfamasia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akipatikana mkumbushe akili za kuambiwa changanya na zakoHii ni fursa kwa vijana kuchangamkia.
TATIZO Huwa wanajaa kwenye kulana kimasihara.
Dahhhh
TANZANIA YANGU.
Kwa dar minimum 800kKwamba ni ndogo..? Ko ilitakiwa alipwe ngapi?
ukihitaji na pharm tech nitafuteAnahitajika mfamasia aliepo mkoa wa dsm ili atumie cheti chake kufungulia pharmacy, mshahara kwa vile biashara inaanza ni laki7 kwa mwezi ila kadr biashara inavyokua kubwa utaongezwa huo mshahara..
Alie teyar anichek inbox..
Kwahio kwa laki8 wanakubali...Kwa dar minimum 800k
Pharmtech hua mnalipwa shingap minimumukihitaji na pharm tech nitafute
Laki 8 yah utapata ila uwe unalipa on timeKwahio kwa laki8 wanakubali...
Laki 8 yah utapata ila uwe unalipa on time
Kama umefungulia Kwa cheti chako unamlipa 500,000tsh Sasa hii anatumia cheti chake kukufungulia biashara inamaana kitu kikienda hovyoo anashikwa yeye so hapo anajirisk so lazima aongezewe mshaharaPharmtech hua mnalipwa shingap minimum
Sasa we unacheka mtu kupewa ofa ya laki 7, unaulizwa mbona umecheka kwani ndogo? Unajibu kwa dar minimum 800k! As if Kuna utofauti mkubwa sanaKwa dar minimum 800k
7 mjini hapa atasuffer kupataAta kaki 7 ata pata watu now wanaangaika kutafuta ajira
Sawa ila hujaelewa mada Mzee baba inasemekana Kwamba mkuu atachukua cheti Cha mwajiriwa halafu afungulie biashara so risk sio yeye anatake ni huyo mwenye cheti Saba ni ndogo ongeze iwe 1.4 na haiongezeki labda iwe kuwa au 1.2 kitu kama huchoAta kaki 7 ata pata watu now wanaangaika kutafuta ajira
Hapana hii ni riskHii ni fursa kwa vijana kuchangamkia.
TATIZO Huwa wanajaa kwenye kulana kimasihara.
Dahhhh
TANZANIA YANGU.
Hamna wanasemaga chini ya 800k hawafanyi kazi sasa yeye top kwake ni 700k ila akiweka 800k atapata sababu zanzibar wanalipa watu hadi 1+MSasa we unacheka mtu kupewa ofa ya laki 7, unaulizwa mbona umecheka kwani ndogo? Unajibu kwa dar minimum 800k! As if Kuna utofauti mkubwa sana
Mbona Bei uliyotaja Iko mulemule😄