Natafuta kazi viwandani, madukani na kwenye makampuni. Elimu yangu Kidato cha 4

Mar 20, 2022
27
46
Habari wana jukwaa,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 NATAFUTA KAZI yoyote ya halali owe
Viwandani, Madukani, Makampuni n.k

Elimu yangu kidato cha nne
Fani WELDING (UCHOMELEAJI)

NAOMBENI SANA MSAADA WENU

MAWASILIANO 0735989666
 
Habari wana jukwaa
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 NATAFUTA KAZI yoyote ya halali owe
Viwandani
Madukani
Makampuni
N.k

Elimu yangu kidato cha nne
Fani WELDING (UCHOMELEAJI)

NAOMBENI SANA msaaada wenu

0735989666
 
Kwann usikodi vifaa ufungue ofisi yako. Uaminifu ndio mtaji wako. Kuliko kwenda kutumikishwa ujira mbuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom