Tangazo la kazi za MDAs & LGAs.

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,553
3,515
Wakuu naomba mwenye tangazo la hizi kazi za MDAs & LGAs anisaidie.
Hizi nafasi za kazi usaili wake wa written ulishafanyika na tangazo lake lilitoka mwaka jana.

Naomba ambaye analo anipe wakuu. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom