Msaada: Nafanyaje kupata viambatanisho hivi?

Msaada: Nafanyaje kupata viambatanisho hivi?

kalachai

Member
Joined
Jul 4, 2021
Posts
76
Reaction score
110
Habarini wanajukwaa, wakubwa shikamoni.

Leo nimepata invitation letter ya mwajiri nchini Europe jiji la ireland Dublin ila nimeambiwa niendelee na procedure za application form kama;

~ Europass CV
~ Motivation latter
~ National health form
~ Work permit form
~ Health insurance form

Hivi vyote sijui naanzania wapi naishia wapi naomben msaada kwa wanaojua
 
Kuna kampuni inatoa msaada ila kwa malipo.
Kampuni pia itaangalia uhalali wa mwaliko wako. From there mtaelewana ili kupata document moja baada ya nyingine.
Kama uko tayari karibu nikupatie namba ya simu
 
Mimi ninachojua Europass CV na Motivation letter: Waone hawa jamaa;
IMG-20230208-WA0007.jpg
 
Kuna kampuni inatoa msaada ila kwa malipo.
Kampuni pia itaangalia uhalali wa mwaliko wako. From there mtaelewana ili kupata document moja baada ya nyingine.
Kama uko tayari karibu nikupatie namba ya simu
Enh wanatafutia na kazi kabisa
 
Invitation letter ya mwajiri ndio nini? Ni employment letter au?
Huwezi itwa ndo uombwe cv, ?? Vyote ni vitu unapeleka na wakiridhika ndo unapata mwaliko.
Alimradi umekubali kutapeliwa we poa tu
 
Back
Top Bottom