Hello,
Kuna mdogo wangu wa kiume yupo Kigoma anatafuta kazi yoyote iwe ya kuuza duka, kusimamia lodge au bar, kusimamia mashamba ama miradi, stationary n.k
Ana elimu ya kidato cha 4 ila pia...
WanaJF natafuta kazi nipo Kahama,
Naomba kwa yeyote atayekuwa interested anipe connection naweza kufanya kazi popote.
Nina taaluma ya Computer Science Certificate, General Agriculture Diploma...
Habari za jioni wadau, shukrani za dhati kwanza kwa Muumba wa mbingu na ardhi kwa kunijalia ajira kupitia ajira mpya 2023 kada ya elimu (msingi), nimepangiwa shule ya Nyakaliro Wilaya ya Buchosa...
Kwa majina naitwa Hussein Mohamedi Bendera kijana wa Kitanzania umri wa miaka 27.
Nachukua nafasi hiii kuwajulisha ndugu zangu kuwa natafuta kazi yoyote ile ya halali inayotumia nguvu ama ya...
Upatikani wa kazi kwa njia ya kutuma CV ONLINE imekuwa ngumu Sana kupata kazi
Nataka kuanza kwenda kuomba kazi physical changamoto yake inabidi ujitoe ufahamu kwenda sehemu wajasema wanataka...
Nakaribia kumaliza elimu ya degree na sitaki kupoteza karne 1 kusubiri ajira hapa bong nipeni ABC za kufika nchi za kiarabu nikafie huko.
Mimi ni wa kiume na kazi yoyote nafanya mradi tu iwe ya...
Wakuu natumai mu wazima, bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2020, nilishindwa kwenda chuo kutokana mwaka tajwa hapo nilikuwa na...
Nikiwa pale udbs bana,ndipo Wakati lile jengo la pssf Tower lilikua linajengwa.kuna kipindi nilifulia nikawa sina hata mia mbovu..home nako nimeacha wife ana mimba.
Nikawa napiga vibarua vya...
NDUGU naitwa Athumani ngoma ni mkazi wa morogoro mjini nina uhitaji wa BAJAJ MPYA ya mkataba nina uwezo wa kurejesha elfu 20 kila siku kwa kwa miezi 24.
Yeyote mwenye uwezo naomba msaada wa...
Poleni na majukumu,
Hongereni Kwa kuipigania bandari,
Pongezi Kwa watafuta ajira wote Kwa kutokukata tamaa.
Moja Kwa Moja kwenye mada. Mimi ni msaka ajira ambae nilipanga kupambania nafasi ya...
SproutGigs
SproutGigs (zamani ikijulikana kama Picoworkers) ni tovuti ambapo watu kote ulimwenguni wanaweza kujisajili kama wafanyakazi huru ili kupata pesa kwa kukamilisha kazi ndogo au rahisi...
Wakuu habari!!!
Natumaini tuko poa sote,na kwa wale wapitao katika magumu Basi Mungu aweke rehma zake mambo yaweze kuwa mepesi.
Tuje kwenye mada,ndugu zangu Mimi ni baba wa familia ya watoto...
Hongereni wote mliopata mliopata ajira katika kada ya Ualimu na Afya ni wakati wa kwenda kulitumikia Taifa na kuwafuta machozi wale waliokuwa wanawategemea makubwa hasa baada ya kumaliza Elimu...
Habari za majukumu wana JF. Kuna nafasi moja ipo.
Position: Sale man
Work station: Iringa mjini
Education level: form four (Atleast division three with Pass in mathematics and English). It's...
Jamani wana JF,
Kuna ndugu zangu wamefanikiwa kuitwa kwenye usaili wa Msaidizi wa ofisi mahakamani katika zile nafasi walizotangaza tume ya utumishi wa mahakama.
Sasa, presha ni juu ya maswali...
Kutokana na Ugumu wa maisha na ujana hausimami nimeona kuja hapa kwa ajili ya kusaka fursa kwenye jukwaa hili.
Elimu: Bachelor Degree of Geography and Environmental Studies.
Experience and...
Awali ya yote nashukuru kwa Muda wako kusoma hii thread Yangu
Nimeanzisha uzi huu kwa malengo mawili moja ikiwa ni kutafuta ajira yoyote ilio halali na pili ushauri maana unaweza kunitoa hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.