Nimejisikia kuwapongeza wale wote mliobahatika kuchaguliwa kulitumikia taifa hili.
Hii ni fursa njema hasa kwa watoto waliosomeshwa na kutegemewa na familia zao.
Do not look down kwa kejeli za...
Habari za uzima wana Jamii wenzangu,
Naomba kufahamu namna ya uwaandishi wa Cv (Curriculum Vitae) hasa kuhusisha projects mbali mbali nilizofanya na company tofauti tofauti je, ni sahihi kuandika...
Position: Accountant II – 4 posts
Application Timeline: 2023-06-07 2023-06-13
Duties and Responsibilities
i. To prepare Financial Reports;
ii. To prepare bank reconciliation;
iii. To record and...
Job Title: Data Clerk – 38 Positions (Temporary)
Reports to: Strategic Information (SI) Regional Lead
Duration of the Contract: June – Sept 2023
Start Date: Mid-June 2023
Location: Mbeya...
Position: Engineer II (Environmental) – 1 Post
Application Timeline: 2023-06-07 2023-06-13
Duties and Responsibilities
i. To conduct environmental research on road maintenance and development...
Hongereni kwanza kwa kuajiriwa
Pili nadhani baadhi mlikuwa mmeajiriwa private sector hususan watu wa afya hata walimu pia.
Naombeni kama ingewapendeza mtupe details za sehemu (vituo) mlivo acha...
Position: Post Procurement Officer II – 6 POST
Application Timeline: 2023-06-07 2023-06-13
Duties and Responsibilities
i. To prepare estimates and budget for office supplies;
ii. To manage...
Position: Post Legal Officer II – 2 Posts
Application Timeline: 2023-06-07 2023-06-13
Duties and Responsibilities
i. To review law, investigates facts, and prepare legal documents;
ii. To...
Habarini.
Nahitaji mtu wa kuchora zile 3D pictures kwaajiri ya presentation ya namna project itaonekana mara itakapokamilika eneo la ujenzi.
Kama una uwezo huo nicheki DM au hata hapa.
Asante.
Mara zote huwa tunashauriwa kutizamana machoni wakati wa usaili wa kazi. Kwangu mambo sio mazuri kama nafanyiwa usaili na mwanamke, huwa siwezi kumwangalia machoni kwa muda mrefu.
Je, kuna mtu...
SEHEMU YA KWANZA:
July 2017 nilihudhuria kikao cha chama cha mchezo wa kuogelea Tz (TSA) kilichofanyika kwenye ukumbi wa Paparazi pale Hotel Sleep Way ~ Masaki. Kwa wakati ule nilikuwa ni...
Position: Head of Business Development - CIC (2286)
Reporting to: Managing Director – CIC
Location: CRDB Bank Plc Insurance Broker
Job Summary
The Purpose of the job is to be responsible for...
Position: Claims Specialist - CIC (2288)
Reporting to: Head of Operations – CIC
Location: CRDB Bank Plc Insurance Broker
Job Summary
The purpose of the job is to provide and manage the claims...
Reporting to: Head of Business Development – CIC
Location: CRDB Bank Plc Insurance Broker
Job Summary
The Purpose of the job is to be responsible for analyzing data and assessing risk using...
Naitwa Rajabu Ally mkazi wa tegeta kwa ndevu nahitaji gari ya hesabu kufanyia kazi ya uber/bolt nina akaunti zote mbili na zipo active gari iwe yenye kukidhi vigezo vya kufanyia hiyo kazi ya tax...
Jana wazir kairuki alisema kua, katika mchakato wa maombi ya ajira kuna watu waliwasilisha vyeti ambavyo vilibainika kuwa vimeshatumiwa na watu wengine, wapo kwenye ajira hivyo maombi yao...
Jamani khabari za uzima!?
Kwanza nipende kupeni pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Ndugu zangu naombeni msaada kuna mdogo angu ameomba kazi mamlaka ya viwanja vya ndege kama aircraft Marshall...
Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote.
Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.