Wana Jf wenzangu msaada Tafadhali

wiseman175

New Member
Jun 5, 2023
1
1
Awali ya yote nashukuru kwa Muda wako kusoma hii thread Yangu

Nimeanzisha uzi huu kwa malengo mawili moja ikiwa ni kutafuta ajira yoyote ilio halali na pili ushauri maana unaweza kunitoa hapa nilipo sasa na kusonga mbele

mimi ni kijana umri miaka 29 nmesomea kilimo(ngazi ya Diploma) makazi Yangu ni Dar nilikuwa nmejiajiri kutokana na changamoto za hapa na pale nimejikuta nmepoteza mtaji wangu wa Pesa niliokuwa nayo.

Niko Hapa kutafuta ajira yoyote ilio halali ili niweze kuendesha maisha hvo wana Jf wenzangu nitaomba mwenye nafasi yoyote au anaejua mahali kuna nafasi anijulishe

Ninaweza kufanya kazi yoyote nje ya fani yangu iwe store keeper, sheli za mafuta, dukani, bar au Hotelini

asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom