Natafuta kazi ya kibarua kiwandani au kwa mtu binafsi

ka washi

Member
Mar 9, 2022
38
32
Wakuu natumai mu wazima, bila kupoteza wakati niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu.

Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2020, nilishindwa kwenda chuo kutokana mwaka tajwa hapo nilikuwa na family issues lakini kwa mwaka huu nataka kusoma.

Nipo Morogoro, wakati nasubiri application ya chuo na kujiandaa kusoma naomba mwenye anaweza pata mahali popote pale niwe napata ujuzi au kusaidia kazi fulani, maana nachoka kukaa tu bila shughuli.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom