Nimesikitika sana baada ya kusikia kwamba pamoja na ajira zote za umma, ukiacha waalimu, kusimamiwa na tume ya ajira, eti kuna taasisi za umma ambazo usaili ukifanywa na tume ya ajira, bado nazo...
Napenda kutoa pendekezo muhimu kwa Waziri wa Afya na Waziri wa TAMISEMI kuhusu mchakato wa ajira katika sekta ya afya nchini.
Pendekezo langu linahusu kuanzishwa kwa mitihani ya usaili kwa...
Habari,
Mwenye connection ya kazi yoyote naomba anisaidie iwe ni kufundisha au nje ya taaluma yangu, nina uzoefu wa kufundisha na Loan Officer.
Napatikana Kibaha
Wakuu za leo,
Katika utumishi kuna utaratibu wa kuacha kazi kwa kumpa mwajiri taarifa ya siku 28 au mwezi mmoja.
Swali langu je katika huo mwezi wa notice mwajiri anakulipa mshahara au unafanya...
Kwema wakuu? Natatua vipi tatizo la kwenye Recruitment portal ya serikali, Unaaply kazi flani na degree yako ikiwemo kwenye orodha ya Academic qualifications walizotaja lakini ukiapply inakataa...
Salam sana.
Rejea kichwa tajwa juu.
Nimekuwa mhariri wa kituo cha redio hapa kanda ya kasikazini kikubwa tu kwa mda mrefu sana ila nimechoka kukaa ndani natamani kutoka nje mwenye msaada...
Habari
Kama ww ni developer front - end or back - end na uko competent but una kaz ni check 0678650509 . Lakini pia kama una uzoefu wa marketing na una kaz nicheki pia . Nina few idea nataka...
Habari za muda huu wana JF,
Nipo Arusha, Natafuta kazi yoyote halali,
Mwenye connection anisaidie tafadhali.
Elimu: form 4
Mawasiliano: 0788614446
Natanguliza shukran.
Asanteni sana
Majukumu yako
Kuuza bidhaa dukani
Usafi wa ofisi wakati wote
Kuendelea na Mpesa na Tigo Pesa
Mshahara
200,000 kwa mwezi
Ofisi itatoa Mlo wa mchana
Ofisi itatoa malazi (sehemu ya kuishi) kwa...
Wanajamii ninaitwa Samweli Mayala.
Mimi ni mpishi wa uzoefu wa miaka 18, natafuta kazi kwa yoyote atakayesikia anijulishe.
Namba zangu ni 0657642225.
Niko Dar es Salaam.
Habarini nahitaji mtu mmoja aliye karibu na ofisi za Halmashauri ya Sikonge tabora mwaminifu nahitaji anisaidie kuchukua nyaraka pale ofisi ya halmashauri nitagharamia na kumuwezesha tafadhari...
Hii nakala nime copy kutoka moja ya mitandao ya kijamii.
MWANDISHI: Iddy Makengo, 11 Sep 2017.
NINI CHA KUFANYA PALE TU UNAPOINGIA KATIKA SOKO LA AJIRA!
Miaka kama nane hivi iliyopita nilikua...
Wakuu kwema?
Naomba kueleweshwa, ukiombwa Phone Extension wakati wa kufanya maombi ya kazi unatakiwa kujaza nini hapo? Na hiyo Phone Extension mtu ambaye hana anaweza kuipata wapi?
Wakuu nimeitwa katika interview kitengo cha sales lakini sifahamu matumizi ya EFd machine katika kutimiza majukumu yafuatayo
1.ku print risiti
2. Ku print daily z report
3. Kutengeneza report...
Habari za leo Mabwana na Mabibi husika na kichwa Cha Habari tunatoa pikipiki za mkataba kwa ma dreva Boda boda wanao hitaji pikipiki. Tunapatikana kariakoo Dar es salaam
Mawasiliano: 0659160000
Habari ya majukumu wana JamiiForums,
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali.
Binafsi Nimesoma...
Wadau habari zenu! Mimi natafuta ajira au kazi nipate kujikimu.
Nina degree ya Public administration lakini pia ni fundi welding kuchomea mageti, milango madirisha n.k , yeyote mwenye connection...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.