Msaada: Usaili wa Msaidizi wa Ofisi ya Mahakama

Exformer

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
837
946
Jamani wana JF,

Kuna ndugu zangu wamefanikiwa kuitwa kwenye usaili wa Msaidizi wa ofisi mahakamani katika zile nafasi walizotangaza tume ya utumishi wa mahakama.

Sasa, presha ni juu ya maswali gani yanaweza kuwepo kwenye usaili

Kama kuna yeyote anafahamu questions za sehemu hiyo aniwekee hapa.

Wakapambanie interview.
 
intavyuu lini
 
1. Asome na azijui vizuri job description

2. Qualification zake zimatch sifa zinahitajika.

3. Majukumu yake ya ziada endapo atachaguliwa.

4. Azijue vizuri mahakama za Tanzania na muundo wake

5. Ajue changamoto atakazo kutana nazo endapo atachaguliwa na kufanya hiyo kazi.

6. Ajue matumizi ya kopyuta na program atakazotumia kufanya kazi zake.

7. Ajue administrative work

Mwisho; asisahau kamwe kumwomba Mungu wake na Mizimu yake ili kila kitu kiende sawa na pengine achagulie maana hana uhakika kama maswali yatakayotoka yatakuwa kama hayo niliyoorodhesha hapo juu.
 
Back
Top Bottom