Natafuta Kazi yoyote halali

Victor MG

Member
May 25, 2023
48
70
Kutokana na Ugumu wa maisha na ujana hausimami nimeona kuja hapa kwa ajili ya kusaka fursa kwenye jukwaa hili.

Elimu: Bachelor Degree of Geography and Environmental Studies.
Experience and skills: Na uzoefu wa kazi za mpesa na uwakala wa huduma za kibenki, pia computer skills.
Location: Nipo Rombo Kilimanjaro
 
Endelea kutafuta kama umeipoteza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom