I used to be a Uber driver in the City of Dar es salaam for a year and half, currently I don’t have a car, I am looking for someone who can hire me as his/her driver for a contract or normal way...
Habarini ndugu zangu,
Mimi ni muhitimu wa kozi ya Bachelor of Science in Nursing (Nursing Officer). Nilikuwa naomba kama kuna mwajiri au mtu yoyote mwenye connection ya kazi inayoendana na kozi...
[Tunakamilisha Mradi]...
Ufungaji wa pump, uwekaji wa tenki na kufunga mifumo ya maji kutoka kisimani kupeleka katika nyumba kwa ajili ya matumizi
√ Pump Brand: Doyin Submersible Pump
√ Power...
Habari za asubuhi.
Kwa wale ndugu zangu wasaka kazi na wenye ujuzi mkeka ni huu hapa.Mtakaopata kazi Tanga muwe makini maana ndiko Mapenzi yalipozaliwa.Be carefully!
Position : Driver – 3 Posts
Reports to : Head of Division
Contract type : Permanent and Pensionable
Job Purpose:
To carry out a range of motor vehicle driving duties and ensure passengers reach...
Hivi haya mashirika ya umma huwa yanawapataje watumishi wake, au huko kwenye hayo mashirika huwa hakuna watu wanaostaafu au kufa ili nafasi zibaki wazi?maana sijawahi kukutana na matangazo yao ya...
Habari ndugu,
Mimi ni mtumishi wa umma. Nimefukuzwa kazi na mwajiri wangu. Sikuafiki maamuzi kwakuwa nimeonewa nimekataa rufaa Tume.
Najitokeza kwemu kuomba kazi ili niweze kuendesha Familia na...
Interested parties are hereby invited to tender for the “Production and Supply of school uniforms at The School of St Jude, Sisia Campus, Moshono, Arusha”. Bidders are invited to submit their...
Habari za wakati Wana JF, mimi ni muhitimu wa SUA katika FANI ya horticulture nipo natafuta nafasi ya kazi KATIKA FANI husika(kilimo) naishi mkoa wa songwe ila nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote...
Hello jf,
Najua huku kuna wataalamu na maHR wenye uzoefu na hizi mambo.
Kuna mdogo wangu hapa anatafuta kazi haitwi hata interview,sisi wengine hatuelewi haya mambo tuliishia la7 B tukaingia...
Sekretarieti ya Ajira inatoa siku chache kuita watu kwenye usaili mfano kada ya sheria majina yametoka jana tu leo watu waende kwenye usaili hii imekaaje mtu anayeishi kigoma kwel ataweza...
Hivi karibuni Tamisemi walitoa taarifa kuhusiana na ajira za ualimu na afya ya namna ya kuangalia maombi kama yalikubaliwa na waliweka ya kupiga *152*00# ili kutambua hali ilivyokuwa, kwa upande...
Nmeshangazwa na huu utaratibu wa kushtukiza kutoka utumishi, ambapo wanatoa majina ya usaili siku Moja kabla ya usajiri.
Yaani majina yanatangazwa tarehe 13, tarehe 14 usaili.
Hata kama mnataka...
Habari wana jamvi,
Ni muda sasa umepita tangu baadhi yetu tuliofanikiwa kufanya interview ya oral pale Dodoma kwa kada tofauti tafauti katika shirika la reli TRC, naomba kujua kwa wenye uzoefu...
Habari za wapendwa.
Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya...
interview transcript concerning challenges facing construction workers in implementing health and safety practices in bus rapid transmit system road works.
APPENDIX II
INTERVIEW GUIDE.
ASSESSMENT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.