Natafuta ajira au kazi, msaada wenu

Qambanyesh

New Member
Oct 10, 2021
2
3
Wadau habari zenu! Mimi natafuta ajira au kazi nipate kujikimu.

Nina degree ya Public administration lakini pia ni fundi welding kuchomea mageti, milango madirisha n.k , yeyote mwenye connection naomba anisaidie

Nipo Dar es saalam

Mawasiliano 0652818921/ 0628841921
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom