Nafasi ya kazi dereva bodaboda

Heading haiendani na thread, inaleta mkanganyiko kidogo...

Kwakua umeweka tangazo hapa, basi huna budi kuweka na utaratibu / maelezo yote hapa hapa kwa uwazi kila mtu aone ili kuepusha fikra au mawazo hasi juu yenu.

Siku hizi, hizi biashara zimegubikwa na wimbi kubwa sana la utapeli, wengi wamepigwa, mimi mwenyewe nilikoswa koswa kugeuzwa victim.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atawalipaje....?
Hakuna kazi hapo, hapo wanatoa pikipiki za mkataba kwa madereva bodaboda. Kwahiyo bodaboda ndio atawafanyia wao kazi kwa kuwalipa hesabu mliyokubaliana katika kipindi chote cha mkataba, baada ya hapo unakabidhiwa rasmi pikipiki ndio ataanza kujifanyia kazi yeye kama yeye kama yeye maana kashamaliza kifungo ( mkataba ).

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom