Natafuta kazi nina degree ya education (Biology na Geography)

halima50

Member
Jan 20, 2019
22
14
Habari,

Mwenye connection ya kazi yoyote naomba anisaidie iwe ni kufundisha au nje ya taaluma yangu, nina uzoefu wa kufundisha na Loan Officer.

Napatikana Kibaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom