Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anaitwa mohammed Anaishi mbagala mbande Anatafuta kazi ya aina yoyote ile yupo tiyali Kwa jinsi alivyonielezea shida zake nkaona vyema kumleta hapa jamvini Namba ya 0693 166 490
0 Reactions
9 Replies
161 Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kimeitoa Tanzania kimasomaso baada ya kuibuka kidedea kwa kushika nafasi ya kwanza Tanzania na Afrika Mashariki na cha nne Afrika, kwenye soko la ajira...
1 Reactions
10 Replies
293 Views
Natafuta fundi wa nguo za kiume mwenye ujuzi wa msingi. Nitakufunza na kukuongezea ujuzi zaidi wa ushonaji wa kisasa. Ofisi ipo Dar es salaam, kinondoni. Kama upo tayari kujifunza na kufanya kazi...
1 Reactions
0 Replies
57 Views
Survival Skills vs High Income Skills Watu wengi siku hizi wanakimbilia kujifunza high income skills kama AI, digital marketing, coding, copywriting au video editing. Hilo ni jambo zuri. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
  • Redirect
Habar za mda huu wadau, Naomba ushauri wenu nimekuwa nikifatilia suala la uhamisho kwa nguvu saana mara ya mwisho TAMISEMI wananiambia barua yako ipo halmashaur subili utaarifiwa, Ikawa kimya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous (6a41)
Mimi ni mmoja wa wafanyakazi wa Taasisi ya KIUMA katika Idara ya Elimu. Kwa sasa, taasisi imekumbwa na mgogoro wa kiuongozi unaodaiwa kuhusisha wanasiasa na mfadhili wa KIUMA. Kutokana na hali...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Anonymous (4247)
Watumishi wa Halmashauri ya Kyerwa tunapenda kutoa shukrani kwa uongozi kwa kuhakikisha kuwa posho zetu za kujikimu zimelipwa. Hatua hii imetupa faraja kubwa na kutusaidia kukabiliana na...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Anonymous
Wafanyakazi wa Hospitali ya Ekenywa iliyopo Magomeni Mwembe Chai tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu changamoto tunazopitia katika sehemu yetu ya kazi. Kwa muda sasa tumekuwa...
0 Reactions
2 Replies
144 Views
Wadau, naombeni kufahamu kuhusu uhamisho wa watumishi wa UMMA. Nilipata nafasi kazi Chuo kikuu fulani hapa nchini nikaomba kuhamishia ajira yangu chuoni hapo kupitia ESS kutoka idara ya...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Anonymous
Fedha za uhamisho na madai Halmashauri ya Karagwe ni kama mwendo wa kobe hasa Idara ya Afya sijui hizo pesa hazipo kweli au ndiyo kulipwa kwa kujuana. Madai ya Pesa toka mwaka 2023 ya uhamisho...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Anonymous
Tunaomba msaada wa kutupazia sauti sisi watumishi wa ajira mpya wa mwaka 2026 katika Idara ya Elimu, Halmashauri ya Babati. Hadi leo imepita takribani miezi saba tangu kuajiriwa kwetu, lakini...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imekuwa halipi kabisa likizo kwa watumishi hasa Idara ya Elimu Sekondari na hata wakilipa wanalipa kiasi cha fedha kidogo au wanalipa kwa baadhi ya walimu wachache...
0 Reactions
0 Replies
38 Views
Tunaomba mamlaka husika zitusaidie kufuatilia na kuhakikisha tunalipwa fedha zetu zote za kujikimu kwa mujibu wa mwongozo uliopo. Tumepokea malipo hayo baada ya kuchelewa kwa muda mrefu, lakini...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Anonymous
Sisi ni walimu wa ajira mpya tulioajiriwa mwezi Januari 2026. Kwa muda sasa tumekuwa tukifuatilia malipo ya fedha zetu za kujikimu, lakini hadi sasa hatujapata majibu yoyote rasmi kutoka kwa...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto mbalimbali zinazodaiwa kuwepo katika Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, hususan katika usimamizi wa ajira za kujitolea (volunteer), maslahi ya...
0 Reactions
2 Replies
188 Views
Anonymous
Sisi walimu wa ajira mpya tulioajiriwa mwezi Januari 2026 tunaomba ufafanuzi kutoka Ofisi ya Rais – TAMISEMI kuhusu hatima ya malipo ya fedha za kujikimu. Hadi sasa zimepita takribani miezi sita...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Anonymous
Watumishi wanaotumia mfumo wa ESS kuomba mikopo wameeleza kukumbana na changamoto kubwa, hasa katika hatua ya kupata namba ya uthibitisho (OTP) inayohitajika kukamilisha maombi. Wanasema baada ya...
0 Reactions
1 Replies
161 Views
Msaada, samahani wana JF kama unaandika barua ya kuomba nafasi zilizotangazwa na chuo kikuu, mfano unaomba nafasi ya uhasibu katika XYZ university, barua utakayoandika utatakiwa kumuaddress HR ama...
0 Reactions
13 Replies
175 Views
Anonymous
Nilikuwa muajiriwa wa Halmashauri ya Kishapu kwa miaka miwili na nusu mpaka nikaacha kazi; ni zaidi ya miezi mitatu sasa imepita lakini mafao yangu ya PSSSF Bado hayajatimia yote Hali inayonifanya...
1 Reactions
2 Replies
110 Views
Wale walioajiriwa mwaka 2014 walikaa miaka 7 (miaka saba) Kwa lugha ya who are you (SEVEN YEARS) bila kupata nyongeza wala kupandishwa daraja bila kosa lolote! imagine kuanzia mwaka 2014 wakaja...
1 Reactions
8 Replies
166 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…