The Wood Family Trust (WFT) is a Scottish registered charity established by UK industrialist Sir Ian Wood and his family with a key objective to improve livelihoods by stimulating viable market...
Pata kazi na KAZImobile kwa kutumia simu yako ya mkononi...
Kujiunga ni Rahisi sana..
Andika neno KAZI( acha nafasi) ikifuatiwa na aina ya kazi unayotafuta halafu utume kwenda 15522.
Mfano...
Consultant Researcher
African Forum and Network on Debt and Development (AFRODAD)
Location: Tanzania
Last Date: July 23, 2010
Consultant Researcher, Tanzania
African Forum and Network on...
Wadau naitaji contact na Human Resources officers,Training officers na planning officer wa makampuni,taasisi na idara mbalimbali za serikali na binafsi.
Please contact me at sottpartners@yahoo.com...
natafuta binti/kijana ambae yuko tayari kufanya kazi stationary Mbeya.
Awe angalao na elimu ya kidato cha nne, awe na certificate/diploma ya secretarial.
mwenye interest please PM
Habari wana JF
Kuna bajaji inahitaji dereva. Awe na leseni "VALID" na uzoefu usiopungua miezi 3.
Elimu - Form IV. Muaminifu, mtanashati na mtendaji.
Kwa mwenye sifa hizo hapo juu ama ndugu au...
Ni KAZImobile (Tanzania).
Sasa huna haja ya kununua magazeti au kwenda internet cafe' . Unatumia simu yako ya mkononi na unapata kazi unayotafuta popote ulipo na wakati wowote.
Mfano kama...
Si rahisi kupata kazi unayotaka kama huna connections au taarifa muhimu za nafasi za kazi kwa muda muafaka.
Lakini kwa kutumia KAZImobile yote yanawezekana katika kiganja chako cha mkono.
Let...
Please be informed that the deadline of applications is July 30, 2010.
Follow the link below for the post:
Chief Executive Officer, COMESA Infrastructure Fund (CIF) - P5
Jamani wana ndugu,
kwanza nilikosea kidogo apo mwanzo,maana sehemu za nafasi za kazi mi ndo nimeweka Topic yangu ya Mahakama ya Kadhi,ebu nisameheni kwa hilo...
Lakini mi shida yangu kubwa pia...
Looking for such a job particularly in Mwanza only.
Whoever in need or ever heard somebody in need os such a person, kindly just send a PM to me.
ASante
Human Resource Manager
The CopyCat is a leading Group of Office Automation and Information Technology company in Kenya, Uganda, Tanzania and Ethiopia, employing over 700 people.
The...
Watanzania tuna changamoto tunapaanza maisha ya kutaffuta ajira au kubadilisha ajira. Changamoto inatokana na uhaba wa ajira chache zilizopo. Ukiondoa matatizo ya mifumo, na taratibu za uajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.