Nafasi za kazi UDSM.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi UDSM....

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Pape, Jun 15, 2010.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
 2. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  3.8 GPA undergraduate degree ya kukariri....hata kama ulipata 4.0 Gpa kwenye vyuo vya nje ukawa haukupata 3.8 ya hapo law school wanapobana, usiapply, inachekesha....uliza madogo wetu wanaomaliza hapo wangapo wanapata walau 3.5 GPA hapo kwenye faculty of law...

  mimi ningekuwa ndo hao wanaotafuta kazi, sitaki hata kazi ya bure udsm.
   
 3. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  If I may ask,kwanini mkuu?
   
 4. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  jibu liko wazi, mtumishi ubunguubungo hakupata 3.8, au? pamoja na kwamba sina uhakika kama ulisoma hapo udsm mtumishi..hahaha, nisamehe kwa leo nimeamua kukurukia kwa leo.
   
 5. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #5
  Jul 11, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  hacha kumkatisha mwenzio, kama wewe una kazi ni wewe uliambiwa usikomae upate G P A ya 3.8, Acha unafiki wako
   
 6. M

  MJM JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Argument zako zinaonyesha jinsi gani usivyo na uwezo wa kupata nafasi hizo. Waache wenye uwezo waombe usiwakatishe tamaa. Hiyo GPA kweli siyo wengi wanaoipata na ndiyo maana ya quality hiyo. Unataka wachukue walioshindwa kama wanavyofanya kwa walimu wa primary na secondary? Mwalimu atawezaje kuandaa wataalam wa baadaye kama atakuwa hamudu masomo yeye mwenyewe? Currently vipimo ni matokeo mazuri ya mitihani (GPA) na kufaulu interview hauwezi tafuta nafasi zinazoendana na wewe zipo nyingi tu.
   
 7. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ukoloni mamboleo huu!
   
 8. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35

  That is a sheer weakness. Scoring a GPA of above 3.8 does not mean you are better than one scoring less than 3.8. Moreover, remember that most Universities in abroad are far weaker than Tanzanian Universities. The reason why you find some graduates with heavy GPAs > 4.0 from abroad not able to compete with local gradutes with even lower GPAs. For example, there is this guy whom I know very well; graduated from one of Indian Universities with a first class in Computer Science in mid 2000s. This guy, I am told, was not even aware of what programming is for! Todate, he still roams the streets, changing from one company to another claiming low incentives. The truth is, once his contract expires no one is any more interested with him!

  University of Dar es Salaam and, of course SUA, which are institutions of high academic standards can not by any means recruit such garbages.
   
 9. Mama Brian

  Mama Brian JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2010
  Joined: Feb 7, 2010
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa Kanyafu naungana nawe kwakweli vyuo vya UDSM na SUA vinanoa vichwa hasa hata kama watu wanasema degree za kukariri lakini vichwa vinapotoka hapo vanakuwa vimekomaa haswa siyo utani tuseme tu ule ukweli.
   
 10. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  thanks Kanyafu Nkanwa, thaks again for telling the trueth that bush man, but forgive him because that is where his thinking capacity can reach, he seems to have dead feelings or walking while dead, as someone who is a graduate can't speak such non-sense, the man looks to have his brain merely concentrated in his backbon with an ampty head, high GPA isn't a proof of knowing everything, I also have my office mate who graduated from one of the University in Malasyia, with good GPA but it is all shame,
   
 11. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kwahiyo argument kama hii ya kwako ndo ya msomi? hivi nyie mnakaa na kujidanganya kuwa udsm mnatoa vichwa? naomba fanyenii tu tafiti hata kesho hata hapohapo dar, au humuhumu ndani ya jf kwa watu ambao kidogo wamejihusisha na kuwainterview watu wakati wa recruitment, watakuambia difference kati ya wanafunzi wa udsm na vyuo vingine...wanakariri tuuu na wanamaliza hapo hata kujieleza kwa kimombo wanachotumia darasani hawawezi...sisi wengine tulisoma hapo faculty of law, sikupata 3.8 yao, lakini sikupata mbaya vilevile..pale udsm law mtu aliyepata first class ni Dr.Majamba peke yake na ni kwa miaka nenda rudi. kina Mngongo fimbo ndo wamekalia akiingia darasani anachekacheka tu alafu anakuachie vitabu ukasome na makesi kibao, ukienda library vitabu hamuna utakavyovikuta sehemu nzuri wamekata ukurasa....wanabanaaaa hadi mtu unashindwa kuelewa vizuri masomo..

  tulipoenda kusoma majuu, tukaona namna maprof wanavojitahidi kumfundisha mtu ili aelewe, namna library zilivyojaa vitabu, namna kila resource ikiwa available kwaajili ya mwanafunzi ashindwe mwenyewe, ndo tumeona utofauti...wewe uliyesoma primari bongo, secondary bongo,high school bongo, university udsm, hautaelewa utofauti wowote na elimu za nchi zingine nakwambia...

  tunafanya kazi katika mashirika ya kimataifa hapa nilipo, ni aibu hata kumwunganishia mtz aliyemaliza udsm kwasababu hajui kujieleza, na anaonekana wazi ni mweupe amesoma kwa kukariri...bora hata hao wa Tumaini pengine wao wanaona wamedharaulika hivyo wanajitahidi sijui, lakini si udsm.....kwa mchangiaje mwengine hapo juu, si kwamba mimi nahitaji kazi udsm, I don't need it, kwanza hawawezi kunilipa hao..kama wewe umejishikiza hapo wakulipe tulaki twako hapo, funguka macho, omba hata scholarships tu utoke nje ukaelimike, bado mshamba sana hapo ulipo haujui mengi.....kalagabaho na kujifariji kwenu...
   
 12. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Inaonekana wewe ni kilaza ndio maana unawakatisha wenzio ttamaa.
   
 13. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kwani maana ya kilaza ni nini?...tatizo wote mlioandika hapa, mnadanganywa na chuo chenu kuwa ni kizuri, kwasababu waliwabakisha hapo ati ndo wenye akili kuliko wote...wote mlioandika hapa ni ma tutorial assistants wa udsm...poleni sana. bado mna safari ndefu sana.....nendeni hata hapo city centre tu mkane wanasheria waliofanikiwa kuliko wote wana GPA gani...anza na mkono afu shuka chini hadi kwa kina mgongolwa etc....ndo utapata jibu. acheni kujidanganya, acheni kiburi cha uudsm
   
 14. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #14
  Jul 13, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Hizi sifa ndizo zinazotakiwa na kila chuo nchini na maeneo mengine kama TRA, BOT n.k.......sasa sijui hawa wenye sifa hizo wako wa kutosha au!!? maana nimeishawahi kumsikia mkuu wa chuo mmoja akisema wahadhiri siku hizi hamna kuana kunyang'ana tu, mara leo yuko huko kesho kule.......na wale wa zamani wengi wamezeeka...wanalazimisha tu kufanya kazi.
  UD, punguzeni hayo ma GPA lasivyo mtabaki na hao wazee wenu hadi lini?
   
 15. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nani aliyekwambia kuwa TRA, BOT na huko n.k wanataka watu wenye akili?! Ulizia chata zilizoko huko. Nchii ingekuwa iko mbali sana kwa namna hiyo.
   
 16. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  akili zenyewe ziko wapi wenyewe hawa? ma GPA wanabanaa ati ndo watu wataonekana wana akili, hawajui kama ndo wanawabania watz kupata vyuo vya nje, kwasababu mtu anapoapply vyuo vya nje, hawajui kama chuo chako walikuwa wanabana kama udsm, au walikuwa fair kama Tumaini, wa tumaini atapata admission nje ya nchi wakati wa udsm hatapata na akili wako sawa....ni ajabu sana.

  kama udsm kingekuwa chuo cha maana, si tungeona pale engineering mmegundua hata bagadu tu jamani, ...sasa hata baiskeli tunaagiza toka china, hadi vinu vya kukobolea mpunga na mahindi vinatoka nje..machine mnazogundua hapo ni majiko ya mkaa etc. wajenzi wa majengo ya maana wote wanatoka nje huko mnakodharau vyuo, nyie na ma gpa yenu hamna hata uwezo wa kujenga majengo mazuri wala barabara zetu,.....VITABU VYOTE MNAVYOTUMIA vinatoka nje kwenye vyuo vya wenzenu....maprofesa wenu wamekaa bwelelee hata kutunga vitabu hawawezi siku zote wanawapa reference mkasome vitabu walivyotunga maprof wa nje....washambaaaa wameridhika na udsm wanafikir wamefika kumbe njaa inawasumbua.

  hamna lolote, fungukeni macho. izo gpa mnazobana watoto wetu, haiwasaidii chochote, mnalibania taifa...si kwamba hao waliopata GPA kubwa ndo wana akili kuliko wengine...ni ngekewa tu siku hiyo walivyoamka kufanya mtihani..na wengine wana akili za kuelewa si kukariri hivyo ukiwaleta kwenye kukariri, utawapoteza...

  ukienda kwenye kiswahili, hadi wakenya wanataka kutuzidi kwenye medali ya kimataifa...mainjinia ndo kabisaaa..kidogo wanaojitahidi ni wale jamaa wa Ardhi kule chini, ndo kidogo wanachorachora majengo kutujengea nyumba zetu kimara na mbezi luis...ila hawana uwezo wa kujenga magorofa ya maana kwasababu wamekariri tuuu..usomi wa kukariri si kipimo....
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Jul 15, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Lol@UDSM
   
 18. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mh!
   
Loading...