Pata kazi unayotaka kwa urahisi hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pata kazi unayotaka kwa urahisi hapa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by justdoit, Jul 14, 2010.

 1. j

  justdoit Member

  #1
  Jul 14, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ni KAZImobile (Tanzania).

  Sasa huna haja ya kununua magazeti au kwenda internet cafe' . Unatumia simu yako ya mkononi na unapata kazi unayotafuta popote ulipo na wakati wowote.

  Mfano kama unahitaji nafasi za kazi ya Secretary unatuma KAZI SECRETARY kwenda 15522 na punde utaanza kupokea nafasi za kazi zilizokuwepo mpaka utapojitoa kwa kutuma KAZI OFF kwenda 15522.

  Au kama hutaki kujiunga na unahitaji kazi papo hapo unatuma KAZI S SECRETARY kwenda 15522.

  Kila nafasi ya kazi utachajiwa shilingi150/-

  Kwa maelezo zaidi tembelea KAZImobile - | SMS Job Notification Service

  Vigezo na Masharti vinazingatiwa.
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Jul 14, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Vigezo na masharti ni vipi
   
 3. j

  justdoit Member

  #3
  Jul 14, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mojawapo ni hayo maelezo hayo hapo juu.
   
 4. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Aluu!! kula TANO SHY nimependa sana swali lako maana matangazo mengi sana nishaona VIGEZO NA MASHARTI kuzingatiwa bila kuweka vigezo na hayo masharti ......
   
Loading...