Natafuta msichana wa kusaidia kazi za nyumbani

Sally

Member
Feb 25, 2008
42
0
Natafuta msichana wa kati wa miaka 18-28 wa kunisaidia shughuli za nyumbani.Awe tayari kuishi hapo.Kwa mawasiliano na mazungumzo piga 0784 580 333
 
Aishi hapo nyumbani kwako je una mke na watoto wangapi? au upo single. kifupi elezea ukubwa na wamilia yako na standard ya maisha unayoishi. itasaidia huyu msichana kujua nakuja kukutana na familia ya watu wa aina gani.
 
siku hizi kupata msichana wa kazi si lelemama, hamna cha Iringa wala Singida!! Labda wazaramo tu na ni wavivu ile mbaya!!!

asante Shule za Kata!!!
 
Hivi una mtaka huyu msichana atoke uku JF? chunga sana usije jikuta unatafuta MKE mwenza ikidhani unatafuta msaidizi...... Na kama una watoto wadogo tafuta HouseBoy tu ila na wewe u jiheshimu kwa huyo HB usije mpa na kazi ambazo siyo zake. kama upo tayari mimi niko tayari kukufanyia kazi zako. kama umeridhika na malezo yangu ni PM tafadhali
 
Na ukimpata anakaa mwezi mmoja anaaga. Ukiwa unajidai eti kumbembeleza ndio utajuta nakwambia atakunyanyasa vibaya. sina hamu na hawa wadada. Leo nimeunganishwa na mmoja wa Kisingida nasikia alikuwa kwa mtu kakimbia nikasema ngoja nimu interview, aliponiacha hoi, eti kule nilikokuwa waliniletea maneno maneno nikasubiri asubuhi yule mama anajianda kwenda kazi nikmuaga mie kazi basi.
mie hoi, sasa ntamchukua huyo wa nini si ataniletea hizo na mimi.
 
aaaaaah I said no to hawa watu, mi wangu alikuwa ananilia timing nikienda job anapiga mzigo kwingine, nikirudi hm du fulu vumbi, yaani alikuwa anafanya yale ambayo yako kwenye upeo wa macho yangu tu!!!!

nikaona ya nini malumbano dada kwaheri,
kwanza msosi wake siwezi kula, couldnt trust her washing my clothes basi tabu tupu.
 
Hivi una mtaka huyu msichana atoke uku JF? chunga sana usije jikuta unatafuta MKE mwenza ikidhani unatafuta msaidizi...... Na kama una watoto wadogo tafuta HouseBoy tu ila na wewe u jiheshimu kwa huyo HB usije mpa na kazi ambazo siyo zake. kama upo tayari mimi niko tayari kukufanyia kazi zako. kama umeridhika na malezo yangu ni PM tafadhali

Mganyizi shituka - huyu mdau hatafuti h/girl - inawezekana anatafuta mtu wa kupumzika naye hasa akirudi toka kwenye mihangaiko ya siku nzima. maana jamaa ni single sasa house girl wa nini? wadau wanamshauri atafute h/boy na si vinginevyo. :A S tongue:
 
sawa tumekusoma mheshimiwa, lakini sasa mbona husemi ur marital status ? usije ukawa unamega tena mida fulani
 
Natafuta msichana wa kati wa miaka 18-28 wa kunisaidia shughuli za nyumbani.Awe tayari kuishi hapo.Kwa mawasiliano na mazungumzo piga 0784 580 333

Call this Number - 0789 195922 - Kuna mdada pale katosha bush huko anatafuta kazi
 
siku hizi kupata msichana wa kazi si lelemama, hamna cha Iringa wala Singida!! Labda wazaramo tu na ni wavivu ile mbaya!!!

asante Shule za Kata!!!

Ni kweli,
Kwa sasa mi nina mpango wa kuanzisha chuo cha mahousegirls/boys.....

Sifa za kujiunga,uwe umefeli form two...na kuacha shule,au umemaliza form four na kupata :A S-eek:..
,uwe mwembamba(yaani una mwili mdogo),Umri usizidi miaka 16,watasoma miezi sita,na kuanza kazi.

Wataajiliwa kupitia chuo changu,na malipo yote yatalipwa kwa jina la chuo.Mwajili asipompenda mfanyakazi fulani tutambadilishia na kumpa mfanyakazi mwingine...

Tumeanza kufanya taratibu za kuanza mafunzo...na tutatangaza nafasi za masomo muda si mrefu.
 
Saidi kuondoka ufukara na umasikini labda na ujinga kijijini kwenu kwa kutoa ajira kama hizi wa watu wa kijijini kwenu.
 
[/I][/B]
Ni kweli,
Kwa sasa mi nina mpango wa kuanzisha chuo cha mahousegirls/boys.....

Sifa za kujiunga,uwe umefeli form two...na kuacha shule,au umemaliza form four na kupata :A S-eek:..
,uwe mwembamba(yaani una mwili mdogo),Umri usizidi miaka 16,watasoma miezi sita,na kuanza kazi.

Wataajiliwa kupitia chuo changu,na malipo yote yatalipwa kwa jina la chuo.Mwajili asipompenda mfanyakazi fulani tutambadilishia na kumpa mfanyakazi mwingine...

Tumeanza kufanya taratibu za kuanza mafunzo...na tutatangaza nafasi za masomo muda si mrefu.

Huu ni mradi mzuri sana - kwa tanzania wewe utakuwa wa kwanza, ila najua kenya vyuo kama hivi vipo vingi. hongera kwa idea ingawa sina uhakika kama upo serious - tuwasiliane tuunganishe nguvu Rugas
 
hiyo aina mpya ya utumwa na usafirishaji binadamu ambayo imepewa hadhi sawa na kutumikisha binadamu mambo ya ngono. jihadhari ndg.
 
mimi nakumbuka niliajiriwa kwetu (nyumbani kwa mama yangu nilipokuwa ninakaa) nilipomaliza form four kuwa hosue girl.

nafanya kazi za ndani zote mwisho wa mwezi napewa pesa yangu ya kutumia...............

nafikiri huu mfumo ungefanya ungesaidia jamaa yako utakaempa kazi kwa kumfundisha kazi za nyumbani zinazotakiwa kufanywa/ kumpunguza kiburi cha kuchagua kazi/ kujifunza kujitegemea japo kama familia ina pesa na pia wewe utapata mtu unaemuamini zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom