Contact Na HR officers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Contact Na HR officers

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by HR CONSULTANT, Jul 13, 2010.

 1. H

  HR CONSULTANT Member

  #1
  Jul 13, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wadau naitaji contact na Human Resources officers,Training officers na planning officer wa makampuni,taasisi na idara mbalimbali za serikali na binafsi.
  Please contact me at sottpartners@yahoo.com or 0653075949
  HR Consultant
   
 2. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  ningekupa ila nachelea
  wewe ni nani hasa adi uombe hizi namba?
  kwa ajili ya kitu gani hasa?
  ili tunapotoa izo taarifa basi tujue unayepokea ni kwa wema au vipi
  binafsi: jitambulise basi ki vyovyote ili tujue pumba na mchele

  kwa heshima tu
   
 3. H

  HR CONSULTANT Member

  #3
  Jul 15, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana mdau kwa ushauri wako muhimu,kifupu nawaitaji hr officers kwa mahusiano ya kazi tu,nimefungua human resource consultancy firm,inayoshugulika na consultancy,training na recruitment.wadau hao niliwataja ni muhimu sana katika kufanikisha utendaji na ufanisi wa shuguli zangu asante!
   
Loading...