Reseach Assistants needed

Donyongijape

JF-Expert Member
May 28, 2010
1,497
811
We need assistants in the countrwide projects starting Next August. Qualified applicants should send
 
Reseacher ndio anatafutwa hivi?

No scope, background, timelines, research's case study etc etc etc

Wabongo bana..arrghh..Wadau msitume CV..ala!
 
Hawa tayari wana watu wao hapa wanageresha tu kwamba walitangaza. Habari ndiyo hiyo. Whether you send your cv or not it doesn't matter to them, you will see people working on the road usiulize waliwapataje.
 
......what agricultural fields are aiming at? technically in its broad sense, agriculture means crop and livestock farming so what is what do you mean? in crop itself, there a many specializations e.g. holticulture, agricultural engineering, crop science etc etc etc! naamini kwamba hii ni geresha!
 
kaka ndio ufinyu wa budget au?? maana hata job descrptn hamna?? kweli bongo kama huna godfather inabidi uwe mpiganaji haswa.......
au ndio mambo ya kupeana kazi...........hii inaonyesha msivyokuwa serious ambayo ina-imply hata hiyo position n the rewards...serious guys with right qualification will never apply to this kind of 'phishy' advert....
 
Wadau mlichangia nyie ni majinias..lol

Inaonekana tangazo limeletwa 'kishahidi' tu lakini background decision inaonekana ishafanyika...
 
Kweli huyu ni mwajili au balaa. Hata hana target group maana hata qualification hajaonyesha. Kweli inasikitisha kama waajili wakiwa hivi je wanaoomba kazi si ndiyo itakuwa balaa zaidi! Tanzania eeee, nchi yangu eeee, sijui nini nini nininini eeee
 
Mkuu revocatus tuambie basi in details ili watu watume CVs. CVs are living vinaandaliwa kulingana na wakati na matumizi. kwa tangazo lako hili mtu ataandaaje CV?
 
[QUOTE send their CVs to [/COLOR]tangreencompany@gmail.com. Successful applicants will be contacted[/QUOTE]

Wasameheni kampuni bado inachechemea hata website haina, si ajabu mfanyakazi yuko mmoja na anavaa kofia zote - CEO, HR, mhasibu na Lead Researcher. Kwa vile nafasi ni Research Assistant wewe kama ni form six wapatie CV you have nothing to loose, I am sure details zaidi utapatiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom