Nafasi za kazi tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za kazi tanzania

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by justdoit, Jul 25, 2010.

 1. j

  justdoit Member

  #1
  Jul 25, 2010
  Joined: Sep 2, 2009
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Pata kazi na KAZImobile kwa kutumia simu yako ya mkononi...

  Kujiunga ni Rahisi sana..

  Andika neno KAZI( acha nafasi) ikifuatiwa na aina ya kazi unayotafuta halafu utume kwenda 15522.

  Mfano: Kama unatafuta kazi ya Customer Care andika KAZI CUSTOMER CARE na utume kwenda namba 15522.

  Punde utaanza kupokea nafasi za kazi uliyoomba. Kujitoa Andika neno KAZI(acha nafasi) ikifuatiwa na neno ONDOA na utume kwenda 15556.

  Ukitaka kupata kazi bila kujiunga andika neno KAZI(acha nafasi) ikifuatiwa na herufi S (acha nafasi) ikifuatiwa na aina ya kazi unayotaka na utume kwenda 15522.

  Gharama ya kujiunga(ambayo hutozwa mara moja) ni shilingi 250 tu pamoja na VAT, na kila kazi utakayotumiwa utachajiwa shilingi 150 tu pamoja na vati.

  Masharti na vigezo kuzingatiwa.
   
 2. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Asante, ila hayo makato ni kiboko.
   
Loading...