General Position Description Fintrac is seeking dynamic and motivated individuals to be part of one or more upcoming bids expected from USAID in Uganda. The projects will focus on improved...
The Health, Nutrition & HIV Programme Manager will be accountable for the overall operational and technical programme management of the Health, Nutrition & HIV program portfolio.
Job Purpose...
Heshima kwenu wakuu?,unakutana na tangazo la nafasi za kazi kwa lugha yetu ya kiswahili. Je hyo barua na CV zinatakiwa ziwe kwa lugha ipi?,kiingereza au kiswahili?
Investor wengi wanaofanya kazi zao hapa nchini wamekua hawapendelei kuchukua watu waliosoma ama proffessionals kwa kigezo cha gharama za kuwalipa. Mfano utakuta security guard wa getinimiaka ya...
Wakuu,kama kuna mtu anahitaji Housekeeper,mchapakazi , mwaminifu na amesoma Veta Mikumi ,muda wa miaka 2na nusu.Tafadhali ni pm au nipigie simu no 068490066.Ana experience ya kazi toka sehemu kama...
Federal Department of Foreign Affairs
Scholarships 2012/2013
Switzerland is offering a limited number of university scholarships to Tanzanian students for the academic year 2012/2013 for...
Jamani nifahamisheni kuhusu interview ya it technician bot tarehe 24/06/ 2010. Kama wametoa majibu ya ile interview.
Naomba mnisaidie kuja hilo waugwana
Wadau nataka kujiunga na jeshi na cjui nianzie wapi na nielekee wapi na kwa nani. m2 yeyote mwenye kujua taratibu za kujiunga na jeshi na zinapatikana wapi taarifa zao tafadhali tujuzane. mimi ni...
jamani wana jf, naomba kama kuna mtu mwenye zile post za training apportunity at TCAA za gazeti la mwananchi tarehe 10 aniwekee, deadline ni 21/10 naombeni msaada ni post gani?
Napenda kuchukua nafasi hii kutafuta kaz.
Elimu yangu ni kidato cha nne,nimesomea ukufunzi kwenye
Education For Better Living Institute-Nairobi Kenya pia nimesomea computer Application...
Jaman kama kuna mtu kasomea haya mambo na anaweza kufundisha wengine pia kuna wizi mkubwa huku maeneo ya Mwanza vijijini, atalipwa vizuri sana tu. Tuwasiliane.
TGFM
Wana JF.
Tunahitaji mhasibu mwenye Diploma ya Accounts. Msichana/Mwanamke mwenye sifa atapewa upendeleo.
Tuma CV yako kwa shimitz2010@gmail.com
Director.
SHIMI ENTERTAINMENT
DSM
Hiv jamani mnafahamu mazingira ya university of bagamoyo?maana tulienda udom tulishinda na njaa hasa wale tulioambiwa tusubirie mtihani wetu baada ya nusu saa ha2kupata hata maji kutusogeza maana...
Wapendwa naomba kujuzwa na wale wenye ufaham juu ya ajira kwa waalimu wa STASHAHADA na wale wa ngazi ya CHETI kuwa ajira zao zinatoka lini? coz tumekaa sana mtaani kuanzia mwez MAY hadi leo hakuna...
Naomba kuuliza wakuu humu jamvini kama kuna mtu yeyote mwenye information kuhusu temporary job iliyotolewa na NHIF maana naona kimya kimekuwa kingi,walishaita watu kwa ajili ya interview?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.