Kazi

juve

Member
Oct 19, 2011
27
5
vip kuna watu wameitwa kweny interview na bagamoyo university? na st.John's University je?
 
sheeeeenzi m nkajua labda tangazo la kazi ungekua karibu ningekukata makonde mana dogo hadi leo hana kazi mwaka wa pili sasa
 
muacheni jamani hii ni sanaa aliotumia ili mvutike kuisoma, KAMA KUNA ANAEJUA ALICHOKIULIZA AMJIBU BASI
 
vip kuna watu wameitwa kweny interview na bagamoyo university? na st.John's University je?
Watanzania tuna utaratibu wa kusalimia kwanza
ndipo unaeleza shida zako!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom