Ajira kwa walimu waliomaliza diploma na grade "a" vipi?

Patflax jr

Member
Apr 11, 2011
72
1
Wapendwa naomba kujuzwa na wale wenye ufaham juu ya ajira kwa waalimu wa STASHAHADA na wale wa ngazi ya CHETI kuwa ajira zao zinatoka lini? coz tumekaa sana mtaani kuanzia mwez MAY hadi leo hakuna hata dalili ya kutumiwa POST ili twende kulikomboa taifa toka kwenye lindi la UJINGA.
Nawasilisha.
 
tuliza boli wenzio walikaa mwaka mzima from may to march next year sembuse wewe miezi kadhaa tu . Piga tution il usisahau methodology
 
tuliza boli wenzio walikaa mwaka mzima from may to march next year sembuse wewe miezi kadhaa tu . Piga tution il usisahau methodology
kwani ni ujinga gani unafanyika serikalini walimu hawapo mashuleni na huku mitaani walimu hawana ajira!
DR Slaa alisema kuihagua ccm ni JANGA ndo kama hivi sasa!
 
Back
Top Bottom