Nina wasiwasi na University of Bagamoyo maana yaliyonikuta UDOM acha tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina wasiwasi na University of Bagamoyo maana yaliyonikuta UDOM acha tu

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by PAFKI, Oct 18, 2011.

 1. P

  PAFKI Senior Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Hiv jamani mnafahamu mazingira ya university of bagamoyo?maana tulienda udom tulishinda na njaa hasa wale tulioambiwa tusubirie mtihani wetu baada ya nusu saa ha2kupata hata maji kutusogeza maana wenzetu walianza pepa yao saa 4:10 toka asbh cc 2kachelewa,naomba mtuweke wazi kama tukiitwa kwenye interview yao Bgamoyo twende na viporo kabisa.
   
 2. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Duh! Yan hata maji yalikuwa hayapatikani? Dodoma ilikuwa na mafuriko ya watu,vp malazi nayo mjini yalikuaje? Haya wenye kujua mazingira ya UB watujuze jaman
   
 3. fikirini

  fikirini Senior Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Msihofu UB ipo town bana, ndani ya mikocheni, full sea breeze
   
 4. U

  Umayma New Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  How comes??? sijafahamu mbona mukose hata maji katika university!!!
   
 5. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  we unamaanisha kwamba ulifikiri kwamba mngepewa hivi vitu au vilikua havipatikani hat kwa kujitegemea
   
 6. s

  sersera Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani ulidhan unaenda kwny harusi?
   
 7. A

  Andre02150 JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Waajiri wengi nchi hii ni wababaishaji. Wanashindwa ku-manage hiring process kiasi kwamba mtu unaitwa kwenye usaili saa tatu lkn ajabu jopo la waajiri wanakusaili 3pm; wapi na wapi!
   
 8. g

  gracious86 JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 433
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu,ina maana wafanyabiashara hawakuwepo kabisa kuuza maji?
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ajaaaabu we mijitu yote ile wawafanyie hayo yote kwa ufisadi wao wangeweza
   
 10. jipitishe

  jipitishe Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poleni kwa matatizo mliyokutana nayo huko DOM, lakini kumbukeni baada ya dhiki faraja so subirini kidogo muitwe kwenye ORAL INTERVIEW then ajira
   
 11. Kijuche

  Kijuche JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 419
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hata pale kijiji cha karibu Nogh'ona mlikwenda mkakosa maji?
   
 12. j

  juve Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani bagamoyo university nao wameita kwenye interview? vip na st.john's university wameita kwenye interview?
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Siasa zitatumaliza.
   
Loading...