Mhasibu anahitajika haraka

thanx for that info,wakikosa wanitafute cz i will be happy to help them out on weekends as part timer with less salary!!!!i got bachelor degree,ts nt required according to the post
 
Mbona mnabagua kwa kwenda mbele! Hivyo vijana wa kiume waendelee kushinda vijiweni bila ajira rasmi shauri ya waajiri wabaguzi.
 
je sie tuliosoma bachelor za management hatuhitajiki maana account pia tulisomaga lol
 
AHSANTENI SANA,

Tumepata CVs za kutosha, tunafanya upembuzi wahusika tutawasiliana nao. NAOMBA ZISITUMWE CV ZAIDI.,tulizopata zinatosha.

Nilisema wasichana watapewa "upendeleo", Neno "upendeleo" halimaanishi "pekee".

Ingawa kwenye sekta ya fedha kina mama wameonakana kuitendea haki zaid (japokuwa sio wote), sio kwamba ataajiliwa mtu sababu ya jinsia yake..hapana ,vigeo kwanza.

AHSANTENI SANA.

Director
SHIMI ENTERTAINMENT.
 
Nini maana ya SHIMI? una entatain nini? Ebu tupe dondoo za kazi ya kampuni yako.
 
je anatakiwa awe na ujuzi wa muda gani?

Awe msichana tu tukishampa interview tutajua ujuzi wake usitake kuyajua mengi mkuu maana kama una bint wa karibu ukashindwa kumpa ma contract bureeeeeeee.

ma contract*
Contacts
 
AHSANTENI SANA,

Tumepata CVs za kutosha, tunafanya upembuzi wahusika tutawasiliana nao. NAOMBA ZISITUMWE CV ZAIDI.,tulizopata zinatosha.

Nilisema wasichana watapewa "upendeleo", Neno "upendeleo" halimaanishi "pekee".

Ingawa kwenye sekta ya fedha kina mama wameonakana kuitendea haki zaid (japokuwa sio wote), sio kwamba ataajiliwa mtu sababu ya jinsia yake..hapana ,vigeo kwanza.

AHSANTENI SANA.

Director
SHIMI ENTERTAINMENT.

Inaonekana SHIMI viwango vyake ni kama ulivyojipresent hapo juu.
 
Nini maana ya SHIMI? una entatain nini? Ebu tupe dondoo za kazi ya kampuni yako.

SHIMI ni kifupi cha neno SHIMIMANA neno la kibantu maana yake ni "Mshukuru Mungu", Kwa kifupi tu..kampuni inahusika na kuandaa matamasha,seminars, programs mbalimbali za radio na Tv,makongamano, usambazaji wa bongo movies, promotion za bidhaa mbalimbali ( mfano; tumeshafanya na voda,tigo(buzz enz hizo) ect), kusherehesha sherehe mbali mbali za kijamii n.k n.k...hata kama ukiwa na shughuli ya Harusi, graduation au sendoff tutakupatia huduma nzuri ya muziki na MC.
PIA TUPE DILI, Mkuu.

Director
SHIMI ENTERTAINMENT
+255 653 048 488

Similar Discussions

Back
Top Bottom