Tangazo hili la kazi, niandikaje barua?

Tiamaji

Member
Oct 17, 2011
33
32
Heshima kwenu wakuu?,unakutana na tangazo la nafasi za kazi kwa lugha yetu ya kiswahili. Je hyo barua na CV zinatakiwa ziwe kwa lugha ipi?,kiingereza au kiswahili?
 
Acha Uchoyo Watumie na wenzako hizo nafasi kwanza ili wajaribu na wao. Inakuwa ni vizuri kama barua utaiandika kwa kiingereza isipokuwa kama hiyo post inatoka BAKITA ndio wanahitaji kiswahili zaidi.
 
ok asante sana kwa maelezo yako,.mi sio mchoyo ila natumia cm thats y nashindwa kuweka hapa tangazo ila mwenye access ya gazeti la MWANANCHI tarh 18/10 ukurasa wa 14 anaweza pata tangazo hilo. Asante tena.
 
Hapo umefanya vizuri, Mungu Akujaalie uitwe kwenye Interview na upata hiyo kazi.
 
andika kwa lugha uionayo rahisi kwako. CV weka kw akingereza ila motivation letter itapendeza zaidi kwa kiswahili.
 
English ni lugha ya kiofisi ktk kutoa report mbali mbali hata ktk interview wengi wanakosa kazi kutokana na kutokuwa fluent english speakers, hivyo kuandika kwa Lugha ya Malkia itakuongezea point ya kukufanya uitwe ktk interview kuliko kuandika kwa kiswahili.
 
Back
Top Bottom