Naomba kufahamishwa

JASAM

New Member
Oct 20, 2011
3
0
Jamani nifahamisheni kuhusu interview ya it technician bot tarehe 24/06/ 2010. Kama wametoa majibu ya ile interview.
Naomba mnisaidie kuja hilo waugwana
 
Du kitambo sana mbona?kwa kawaida Bot huwa wanaita kazini wiki 1 au 2 mara baada ya interview ya 2.Na pia huwa wanatabia ya kutangaza upya kazi kama hao waliowafanyia usahili hawajafikia vigezo vyao. Kwa maana hii hizo nafasi zitakua zimeshajazwa
 
Back
Top Bottom