Nsff tendeni haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nsff tendeni haki

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mwana UoA, Jan 1, 2012.

 1. M

  Mwana UoA Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi ni mwingoni wa watu waliofanya written interview jana ila habari za uhakika toka ndani ya NSSF mawaziri wa nchi kibao wamepeleka majina ya watu wao wasidhani hii tz ya mwaka huo sasa ni zama za uwazi na ukweli.
  Ninakusudia kuyaweka hadharani majina aliyoyapeleka waziri wa maliasili Maige yako kama nane nasubiria kama matokeo ya watu hao yatapitishwa ninafuatilia pale IFM inasemekana jamaa hawajafanya hata paper huu uonevu mkubwa sana watu tutafanyaje kwa staili hii kisa Maige alikuwa mmoja wa wajumbe wa mfuko huu sasa naahidi nitayapeleka majina hayo kwenye magazeti nitagharimia yawekwe wazi watu wafahamu uozo unaofanywa na wanaojiita wenye nchi.
  Pia wanapa tahadhari NSSF kitengo cha uajiri HR nitawaumbua fuateni haki
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Safi sana UoA weka wazi hao
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huwezi kupata kazi hata ya kukata tiketi pale ubungo..nsff ndo nini?hebu kwenda huko...akili huna unataka kusumbua watu hapa..nenda kalime
   
 4. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  What a way to start the new year!! Just because you have the means to enjoy life does not mean that uwatukane wenye kutafuta.

  Happy new year!!!
   
 5. k

  kajunju JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Kuna mdogo wangu alikuwemo kwenye interview.watu walikuwa zaid ya 300.weka majina ya maige ili aumbuke
   
 6. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  hakuna kitu nsff kuna nssf national social securty fund WE BUILD YOUR FUTURE
   
 7. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 2,236
  Likes Received: 928
  Trophy Points: 280
  Acha ushamba bitozi wa kwimba! Ujumbe si umeupata down the line?
   
 8. M

  Mwana UoA Member

  #8
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru tuko serious unasema sina akili ungalijua whom am I kama na wewe u miongoni mnaopitia mgongo wa mawaziri kama maige jiandae nasubiria majina hayo yakipita tu oral interview nitayaweka wazi yote na nitaita media ili tabia hii ikome maana hata aliyenipatia majina na mwajiriwa wa NSSF kitengo cha HR tunataka watu waajiriwe kutokana na right qualifications zao si vinginevyo.
   
 9. Rodcones

  Rodcones JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 16, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  yeah
  watajitaidi kutenda hadi
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  jambo jema,kama ni kweli hawakufanya intaerview basi weka hapa hata leo
   
 11. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #11
  Jan 1, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  mbona umechelewa sana MWANA coz tuko trainnig huku so ile pepa ni system mpya ya kuwakutanisha wasomi wasio na ajira....pole yenu msio na memo!!! venni, vetti, vecci!!!
   
 12. S

  Sarya Senior Member

  #12
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ..Jana niliona kuna umuhmu wa kuunda mtandao wa mageuzi ndani ya hii nchi badala ya kuongea. Tulikuwa wengi ajabu na asilimia kubwa ni kama watahiniwa hawana imani na huo mtihani tulioufanya. Niliweza kukutana na jamaa yangu ambaye tulimaliza six, na yeye anasema kila akiomba serikalini ni kufanya mitihani na si interview kitu ambacho anaamni angeingia kwenye interview angewaonyesha kuwa anaweza.
  Seriously we have employment syndrome na sijui hii hulka itaisha lini. Hata kama hakuna corruption kama watu wote niliowaona ndo wanatafuta kazi kila mwaka then, hata hizo ajira sidhan kama zitatosha.
  I have made my mind that in next 2 yrs to come, i will employ not less than 10 people. I am very srious on this and i have to make it work.
   
 13. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #13
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Samahani kwa kutoliona hilo si unajua tena mambo ya "new year". Thanks for pointing it out.
   
 14. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #14
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kama wana right qualifications interviews za nini sasa??yaani nchi hii bwana kwishney kabisa kila kitu wamekwiba
   
 15. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #15
  Jan 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  tutafika tu
   
 16. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa mwendo huu hatufiki!
   
 17. M

  Mchakatoh JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kijana haya maneno yasiishie tu JF...lakn b careful wasije wakakupoison cuz unapambana na gamba!..
   
 18. O

  Optimistic Soul JF-Expert Member

  #18
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  This is what we call POSITIVE THINKING big up!
   
 19. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #19
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,481
  Likes Received: 2,072
  Trophy Points: 280
  pole sana kwa kukatishwa tamaa na system ya ajira nchini mie ningekushauri uyatoe majina right now ili wajue kuwa huo mchezo mchafu umegundulika (prevention is better thani cure) ukisubiri wakishakamata nafasi ujue huwezi kufanikisha lengo lako.

  Nilipita pale IFM nikaiona ile hali kwa kweli kama wale vijana wote hawana ajira basi serikali iamke na kutafuta solution ya ili tatizo. Pia nashauri vijana mjiajiri kusoma si lazima uajiriwe na mtu unaweza kujiajiri na baadae ukawa mwajiri na kuokoa wanaokosa ajira
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Inaweza kutendeka labda.
   
Loading...