Nafasi za kazi nenda apa,pale mpaka lini?

herrypeter1

JF-Expert Member
Jan 17, 2009
223
29
Ni mara chache kukuta watanzania wanaungana kwa nia moja kufanya jambo fulani
ivyo basi ata viongozi wetu wamekuwa ni wakujificha katika kufanya vitu, siku zilizopita nilikuwa BRELA
alikuja mtu kusajili kampuni wakati anatoa maelezo akasema mwenye hisa katika kampuni hii ni mkubwa katika
nchi ivyo ataki ajulikane,
Nilipata kujiuliza maswali mengi sana yakiwemo---
Ni kwanini viongozi wetu wamekuwa watu WA KUJIFICHA LINAPOKUJA
SWALA LA WAO KUWEKEZA?
Ni lini matatizo ya kulalamika kuusu uwezo wa makampuni ya nje Tanzania?

Inanishangaza Tanzania viongozi na watu wake--
kwa Tanzania ukiwa kiongozi ni nafasi ya kuongea pumbaa na kujilimbikizia mali.
mfano sakata linalondea la feli KIONGOZI MZIMA UNASEMA ELA ILIYONGOZWA NI KODI YA WANANCHI
KULIPA WABUNGE KWA IYO WAACHE KELELE? INAINGIA AKILINI ILI?

ni wakati kwa watanzania umefika kusema MIMI NINA IKI MWENZANGU UNA NINI
TUPATE UNGANISHA NGUVU NA KUPATIANA AJIRA,
TUNAWEZA ANZA TUKIWA Jf, COZ WE GOT PEOPLE HERE WHO HAVE GREAT IDEA
AMBAPO IF WE WORK ON THAT WE CAN BE FAR SANA KIUCHUMI.


UPATI KUONA WAhiNDI WENYEWE WANAIBIANA SANA LAKINI AWAACHI KUSAIDIANA

LETS WALK AND TALK THE WALK OF DEVELOPMENT IN TANZANIA.
 
Back
Top Bottom