Natafuta kazi ya mtendaji wa kijiji. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi ya mtendaji wa kijiji.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mr. Masasi, Jan 2, 2012.

 1. M

  Mr. Masasi Member

  #1
  Jan 2, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wa jf km m2 anainfomation na kazi za namna hyo tupeane tarifa to phone # 0757922293. Elimu yangu ni km ifuatavyo degree moja ya udom ambayo ukiconvert ni sawa na certificate yyte vyuo vingine vya maendeleo ya jamii. Aliye serious anaijuze mana nko serious ni hzo kazi. Ni pm au ni sms.
   
 2. G

  Geka Senior Member

  #2
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nenda website ya utumishi.go.tz, angalia tangazo la trh 22.12.2011 zipo nafasi zimetangazwa, wilaya ya Nachingwea- Lindi
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mbona udom mnajidharau hvo wajamen?
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Jan 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Hizo nafasi za upolisi ulizotuhabarisha we hazikufai? Kwanini usisubiri hizo?
   
 5. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #5
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Amejidharau mwenyewe kwa kutaka attention ya kipum'vu kutoka kwa watu., Nadhani anataka kuongeza idadi ya post zake, maana kuna sehemu kapost issue za uongo uongo kuhusu kazi za majeshi.
  Mkuu Masasi ka upo serious kutafuta kazi, hauweza kupata kwa njia za kipuuzi unazotumia
   
 6. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  wana udom mnakazi.
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Huna sifa!!!!
   
 8. g

  gkipps Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizo kazi zimetoka na deadline leo
   
Loading...