Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wadau naomba ushauri ni wilaya gani nzuri kati ya Kiteto, Iramba na simanjiro. kuna kazi nimeapply nikaambiwa nichague japo interview bado. naomba wadau mnipe ushauri plz.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Kwa waajiri wenye kutafuta watu wa bachelor degree of business administration, nina uzoefu wa book-keeping related functions wa zaidi ya mwaka mmoja pamoja na teaching experience ya masomo ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
vipi wadau mmmeitwa kwenye oral intreviw, coz kuna jamaa yangu kanambia wamepigiwa simu waende kesho saa mbuili asubuhi pale maktaba complex
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anatafutwa HEAD OF FINANCE, MWAJIRI NI SIKIKA (NGO) SIFA 1. CPA uwe nayo 2. Uzoefu miaka 3 3. knowledge of accounting packages na taxation system ya nchi yetu 4. marefa wawe 3 5. tuma CV NA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Technicians wenye level ya Diploma au chet cha FTS wanahitajika kwenye moja ya Security Company hapa Dar es Salaam. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na mimi kupitia 0715702886 ama tumia Email...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
waiters-8 receptionist-5 wanahitajika haraka wawe na cv, copy ya rangi pasport kurasa ya kwanza picha pasport size 2 pm kama una vigezo tuwasiliane
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Medical Officers-Check Guardian or Daily News ya leo
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Natafuta kazi ndg zangu kwa mwenye kazi yoyote aniunganishe au anipatie, elimu yangu form 2.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Hi Members of JF. I am looking for a job. Here under is my qualifications in summary:- Have recently completed Masters of Business Administration from the University of Dar es Salaam (First Year...
2 Reactions
81 Replies
8K Views
Jamani wana JF. Ifikie wakati tuwe serious na matangazo ya kazi mnayoweka! Mtu anaweka eti nafasi za kazi,anaweka chanzo mfano eti ni gazeti la Mwananchi,ukienda kulinunua unakuta hamna kitu mle...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF, Mwenye habari juu ya kuitwa kwenye oral interview, wameanza kupiga simu?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mimi ni msichana nina certificate ya ualimu wa chekechea nimesoma montesory mwanza .naomba msaada wenu wananchi katika ujenzi wa taifa letu .naishi dar
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa anayetaka nyumba katika maeneo hayo tuwasiliane 0755 099 291, 0657 14 55 55, 0686 200 117 . nyumba kwa ajiri ya makazi au ofisi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu mimi niliitwa kufanya interview kwenye shule fulani hapa mbeya inaitwa umoja primary. Baada ya wiki mbili nilipigiwa simu na mtu ananiuliza ww ndo fulani nikasema ndiyo lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cabin Crew:40 post
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Habari JF? Nime graduate BSc Computer science kwenye chuo kimojawapo nje ya nchi.. Ningependa kufanya kazi nyumbani Tanzania, kwa hiyo ninaomba mwenye taarifa za zitakazowezesha kupata kazi ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
VACANCY ANNOUNCEMENT The Principal Commissioner of Immigration Services announces vacant posts in the Immigration Department. Any Tanzania Citizen with minimum qualifications mentioned hereunder...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hallow jamii forum tanzania. kampuni ya zenith Training inajihusishana mafunzo ya komputa na project tofauti inahitaji vijana wawili wenye uwezo wa kujieleza, kuongea kingereza, wenye kupenda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nasikia Idara ya Uhamiaji wametoa nafasi. Inasemekana gazeti la Mtanzania la leo zimemwagwa humo. Mwenye access nalo atumwagie humu wenye nia na kazi hizo wajaribu bahati zao.
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Back
Top Bottom