Mwanajamii wa mba kazi hii uliyokuwa unaitaka na kwa wale wenye sifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanajamii wa mba kazi hii uliyokuwa unaitaka na kwa wale wenye sifa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by MAUBIG, Apr 20, 2012.

 1. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  Anatafutwa HEAD OF FINANCE, MWAJIRI NI SIKIKA (NGO)
  SIFA
  1. CPA uwe nayo
  2. Uzoefu miaka 3
  3. knowledge of accounting packages na taxation system ya nchi yetu
  4. marefa wawe 3
  5. tuma CV NA COVER LETTER kWENDA jobs@sikika.or.tz before 27/04/2012


  job description ni ndefu nimeshindwa kuikopi, cha msingi kazi ni zilizile za watu wa finance and accounting


  JARIBU BAHATI YAKO
   
 2. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 800
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 60
  Nina marefa wawili na watatu nataka uwe wewe,upo tayari?
   
 3. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Muulize jirani yako huyo huyo. Sijui utajisikiaje ukisikia jirani yako naye anataka kuhack yako kama ungekuwa nayo? Stop crying start thinking how to live by legal means instead of crime.
   
 4. MAUBIG

  MAUBIG JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 972
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 180
  Siwezi kuwa refa wako, maana sikujui wakinipigia wataka niwaambie nini
   
Loading...