hivi huu ni uungwana?

MAKEHU

New Member
Apr 20, 2012
1
0
Ndugu zangu mimi niliitwa kufanya interview kwenye shule fulani hapa mbeya inaitwa umoja primary. Baada ya wiki mbili nilipigiwa simu na mtu ananiuliza ww ndo fulani nikasema ndiyo lakini akaniambia samahani nimekupigia kwa bahati mbaya na mm nikashangaa sana maana nimesafiri mpaka kufika hapo. Hii Tanzania tunaelekea wap? Nimempigia mmojawapo wa interviwers maelezo yake na ya yule Acting manager yakawa tofauti nisaidieni nifanyeje. huku mbeya ndiyo mambo yetu
 
mkuu hueleweki......kilichokushangaza ni nini? ni mtu kukupigia simu na kukuuliza jina lako? au
 
Back
Top Bottom