Ni lini nami nitapata kazi?

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Natafuta kazi ndg zangu kwa mwenye kazi yoyote aniunganishe au anipatie, elimu yangu form 2.
 
hili nalo neno!elimu form 2? Kwani kuna cheti cha form 2? Nakushauri uendelee na masomo kwanza,kwani ni ngumu sana kukupa matumaini kuwa ni lini nawe utapata kazi,angalau ungekuwa una angalau ngazi ya diploma,ningesema,omba mungu,ipo cku.
 
hili nalo neno!elimu form 2? Kwani kuna cheti cha form 2? Nakushauri uendelee na masomo kwanza.
 
Viwanda vya umma vimekufa, wao walikuwa wanaajiri hata Std VII. Naomba nikupe moyo hiyo Form II yako si haba, iwekee nyama kwa kujiunga na kozi za NABE au VETA utatoka tuu.
 
hili nalo neno!elimu form 2? Kwani kuna cheti cha form 2? Nakushauri uendelee na masomo kwanza,kwani ni ngumu sana kukupa matumaini kuwa ni lini nawe utapata kazi,angalau ungekuwa una angalau ngazi ya diploma,ningesema,omba mungu,ipo cku.

Ndg nilishindwa kuendelea na masomo yangu baada ya familia yetu kutengana yani baba na mama.
 
Viwanda vya umma vimekufa, wao walikuwa wanaajiri hata Std VII. Naomba nikupe moyo hiyo Form II yako si haba, iwekee nyama kwa kujiunga na kozi za NABE au VETA utatoka tuu.

Tatizo ni pesa ndo maana natafuta kazi yozote kisha nikajiendeleze.
 
Ushauri wangu itabidi tu ukubali kuanza na kazi yoyote ile kisha uendelee kujisomesha, Mungu atakusaidia ndugu yangu, maana si kwamba ulikataa shule ila tu ni uwezo haukuwepo.
 
Ushauri wangu itabidi tu ukubali kuanza na kazi yoyote ile kisha uendelee kujisomesha, Mungu atakusaidia ndugu yangu, maana si kwamba ulikataa shule ila tu ni uwezo haukuwepo.

Ahsante kwa ushauri ndg, na mm hlo ndilo lengo langu
 
Hapo ni pagumu ila kama ulivyoeleza huna jinsi,changamoto ni kwamba kwa elimu hiyo utapata kazi za kutumia nguvu mwili na huwa zinachukua muda wako mwingi,ila unaweza save ufikie malengo ukajiendeleze veta. Nakutia mojo usikae kimya kuelezea KIU yako, JF imewawezesha wengi na tupo wa2 wa tofauti huku, u never know. Pia solution ya kurudi shule sio kazi tu,fikiria zaidi,jaribu kuangalia kama kuna organisation au m2 ambaye u cn try kumconsult. Best of luck buddy.
 
Habari,

Kiongozi unajua kuna vijana wengi wamesoma sana. Pili aliesoma kujiongoza ni rahisi, hivyo wengi wanaona wawachukue hao.

Mm naungana na wenzangu nakushauri sana ujiendeleze kielimu.
 
Tatizo ni pesa ya kujiendeleza pakuitoa ni mpaka kufanya kazi ndo maana naomba hvi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom