Hatimaye nimefanikiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye nimefanikiwa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by chitanda.nyoka, May 3, 2012.

 1. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau nimehangaika muda mrefu kujiunga humu jf maana kila surname nnaloandika nna ambiwa lipo mpaka nilijiandika surname shoga nikaambiwa pia yupo du
   
 2. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Heee, pole sana na karibu! Ila sidhani kama hapa ni mahali pake... Enjoy yourself mkuu!
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  I thought unatangaza ajira au umepata
   
 4. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Hii ni jukwaa linalohusika na masuala ya kazi na tenda!!! Unatuchanganya, mi nilikiri umefanikiwa kupata kazi au tenda!!!
   
 5. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ni tofauti sana huku na Facebook. Think Great
   
 6. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipate kazi wapi baba mtu maana tumehangaika dsm mpaka nikaona labda huko wasomi wengi nimehamia masasi,huku ndo noma kabisa afadhari ya dar maana huku ndo kuna ubaguzi kwenye interview niliulizwa ww mtu wa wapi?
   
 7. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  dah kweli we mgeni humu jamvin sie huku tunatafutanga unga wa watoto.
   
 8. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  me pia msaka ajira kam wewe tu,tena afadhari ya wewe au wengne ambao ni wazima me nimemaliza chuo nna bachelor ya business administration but me ni mlemavu wa mguu kwahyo me ajira nnazo ckilizia ni za maofisini tu benki au mawizarani,huko uhamiaji,tpdf,magereza nawaachia mgombanie
   
 9. d

  debito JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  karibu feel free n express ur self
   
 10. f

  fered mbataa JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 240
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ubadilishe tittle c twadhani umepata job broooo
   
 11. KML

  KML JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwaio ulikua unatafuta pa kujiunga penye mashoga au?? ebu toa upuuzi wako huku watu wa kazi tu, peleka upuuzi wako facebook
   
 12. b

  bodachogo Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ganja na kete ni mbaya + stress za unemployment
   
 13. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Hata siyo FB, jukwaa la jokes lingemfaa
   
 14. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  me pia msaka ajira kam wewe tu,tena afadhari ya wewe au wengne ambao ni wazima me nimemaliza chuo nna bachelor ya business administration but me ni mlemavu wa mguu kwahyo me ajira nnazo ckilizia ni za maofisini tu benki au mawizarani,huko uhamiaji,tpdf,magereza nawaachia mgombani

  dah pole ila nyie ndio mna nafasi za upendeleo kila idara
   
 15. a

  avint Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  broo iyo title inazingua! ila karibu
   
 16. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #16
  May 6, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Msameheni
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,609
  Likes Received: 82,183
  Trophy Points: 280

  Hata mie nilidhani hivyo nikaja kumpa hongera zake...Kumbe!!!!!...Kuku mgeni hakosi.....
   
 18. R

  Rakeem Member

  #18
  May 8, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo humu hata la saba wamo! me nadhani eligibilty ibadilishwe humu sio kila mwenye kuweza ku type na yy member I think a minimum of Bachelor degree n above.The rest waende fb au mfufue hi 5 kupunguza utoto hapa jamvini
   
 19. m

  manasa Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Coz hajui alitendalo poor her/him
   
 20. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45

  Tofauti yake ni nini?, kati ya huku na facebook.
   
Loading...