Nafasi za Cabin Crew precision air vipii?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafasi za Cabin Crew precision air vipii??

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by King2, May 7, 2012.

 1. King2

  King2 JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mbona kimya, au ndio kama kawaida tumepoteza muda wetu ku apply.
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  unajua kuogelea wewe?
   
 3. King2

  King2 JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hicho kigezo hawakuweka. Jamaa aliye post humu ndo aliongezea mwenyewe.
   
 4. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Wana-aim Wakenya zaidi Wa-Tz wamezidi visingizio... SOURCE from Insider!
   
 5. King2

  King2 JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  dah, kwa hiyo ile ilikuwa formality tu. Buku 3 yangu ya picha imepotea buree kabsa
   
 6. R

  Rakeem Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  cabin crew haitofautiani na kazi za waiters! professional ni aibu kufanya hii kazi au sababu ni kupanda ndege? upo tayari kumpangia msosi na kumnawisha classmate wako ndani ya pipa!
   
 7. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Acha kutukana ajira za watu wewe! Na hiyo kunawishana ipo ndege gani niende nikapande.
   
 8. King2

  King2 JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  cha muhimu ni Mshahara mkuu..
   
 9. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Acha dharau kijana! ni sawa na kuwa cashier bank unapokea pesa za classmate wako, au kuwa daktari unamtibia class mate wako n.k
   
 10. e

  edwin monyo Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asiyejua maana haambiw maana ,jarib kuwa criaz na kile kinachozungumzwa cyo unakurupukurupuka na kuanza kuandika kwa kuwa umeona wenzako wamemeandika Rakeem
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. C

  Cozcoz Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :eek2:eek:mba qatar airways lakini unakope ndefu kama za wanawake wa doha?:israel:
   
Loading...