yeyote anayejua lugha ya mawasiliano katika interviews za utumishianihabarishe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

yeyote anayejua lugha ya mawasiliano katika interviews za utumishianihabarishe.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by pebo da great, May 9, 2012.

 1. p

  pebo da great Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wana jf habari zenu. Tafadhali kwa yeyote anayejua ni lugha gani inatumika katika interviews za utumishi naomba msaada. Na la pili kama kuna yoyote mwenye idea na written za utumishi pia asisite kunijuza.
  Asanteni sana
   
 2. mankipe

  mankipe Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  english...afu kuwa specific written interview ya course ipi?
   
Loading...