CRDB na undugu kwenye Ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CRDB na undugu kwenye Ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Naibili, Mar 15, 2012.

 1. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,680
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kwa wadau ambao mna fuatilia haya mambo ya ajira hawa jamaa wameajiri watu mwezi huu, lakini wameacha malalamiko mengi.
  wadau wanauliza kwani walitumia vigezo gani? maana kama sifa wapo wenye sifa mpaka za ziada lakini hata kuitwa hawakuitwa,
  wengi kati ya wanaolalamika ni wale waliofanya field hapo hapo crdb, na wengine baada ya kumaliza chuo walienda kujitolea kwenye branch za bank hiyo lakini cha kushangaza pamoja na kutuma maombi wameshangaa kuona kimya huku wakishuhudia wenzao wameajiriwa, huku wenyewe bado wanasugua bench.
   
 2. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Freedom and success in Tanzania is determined by personal efforts, achana na kungoja ajira za kihuni, you have been to school not only to be employed, you can start your business.
   
 3. mtanzania in exile

  mtanzania in exile JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 245
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Labda ndugu badala ya lawama ungelimuelimisha mleta discussion hii ni vipi aanze biashara yake mwenyewe. Nijuavyo mimi biashara bila ya angalau vijisenti viwili vitatu haianziki. Kijana inaonyesha ndio kwanza amemaliza chuo atapata wapi mtaji wa kuanzisha biashara? si lazima kwanza uwe unapata sort of income na ndio uanzishe biashara? elimu tupu bila ya mtaji utaanzisha biashara gani?

  Labda na hili nitafurahi sana kama utakuwa mkweli kabisa, tuambie wewe binafsi unafanya biashara ya namna gani? ulianza anzaje? ulipata wapi mtaji wa kuanzia? iko wapi biashara yako hio ili walio karibu waje wakuone kama changamoto kwao. Tatizo la watanzania wengi ni kuiga tu maneno ya wanasiasa eti start your own business lakini wao wenyewe hata hawajui ni nini kinahitajika kuanzisha business yeyote ile.
   
 4. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,680
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  afadhali umnisaidia hiki ndicho nilitaka nimuuize ndugu huyu, watu wengi hawapendi kuajiriwa lakini kutokana na mtaji kukosekana wanashindwa wafanye nini!
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Hii benki ni ya kifisadi, ndio iliyohusika kwa wizi wote wa fedha za EPA watu walipitishia huko. Hata ajira zinakuwa ni za kihuni kulinda mtandao wao wa wizi, favorites ni kabila la Kimei...

  Hii bank itabidi ifilisiwe siku nchi yetu itakapokombolewa toka kwenye mfumo fisadi. Ushahidi wote upo na wanufaika kama akina Rajab Maranda wameishahukumiwa. Tuikatae hii bank wabongo
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nina maswali ya kumuuliza mwanzisha mada,
  Mlipokuwa mnafanya field au kujitolea katika branch za crdb, mliingia makubaliano yeyote kwamba baadaye mtaajiriwa na Crdb?
  Watu waliopewa ajira una uhakika kuwa hawana vigezo vya kukuzidi wewe?
  Unajua waliopeleka maombi ni wangapi?
   
 7. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  niongeze point moja tu..
  Je! ni wapi hakuna undugu kwenye Ajira?
   
 8. O

  OMOMURA Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huhitaji mtaji kuanzisha biashara! Unatakiwa tu kuwa na "idea" halafu financing itafuata. Ukiwa na idea ambayo ni nzuri na itakayoleta faida, wapo watu wengi tu wenye pesa wanatunza benki huku wakitozwa gharama za kuzitunza huko watawekeza! The issue here is are you ready to start your own business?! Starting a new business is both exciting and rewarding, but it is also full of challenges. Na kutokuwa na mtaji is one of the changamoto.

  Kjiajiri kwa kuanzisha biashara inahitaji kwanza uwe na positive attitude na ujuzi wa kuanzisha biashara. This means being honest about a range of issues - your knowledge, your financial status and the personal qualities that you can bring to your new business. Commitment, drive, perseverance and support from family and friends will go a long way towards transforming your business idea into reality and will be especially important during the early days.

  Inshort, mtaji sio big deal when it comes to staring business! Waulize all sucessful people in business hata hapa tanzania hawakuanza na mtaji! So mtaji should not be an excuse. Tatizo letu kubwa ni uvivu na uoga wa ku take risk. In fact mtu unaweza kutumia pesa zako ulizodunduliza ukiwa chuo (tatizo tunapokua chuo hatuweki akiba yeyote kwa sababu tunakuwa na ndoto za kupatan kazi mara tunapo graduate, hatufanyi vibarua wakati wa likizo na wale tunaofanya pesa tuitumia kurudisha heshima baa), waweza kopa benki (kisingizio kitakua hatuna colletrals lakini kama unaaminika huwezi kosa wazamini like family members), kupata mikopo rahisi toka kwa ndugu jamaa na marafiki (tatizo hatuna tabia ya kudevelop networks na wengi wa marafiki zetu ni watu wa hovyo hovyo tu wasio na msaada. lakini kama tukiwa na newtwork for example with seniors tuliowakuta chuo, by the time tunaingia mtaani wao wanakua somewhere so ni rahisi tuwa pertners). Twaweza pia ku attract investors kama ndugu jamaa na marafiki wenye pesa lakini hawana good ideas, pia kuna grants na misaada ya serkali na mshirika. kwa mfano recently kumekua na programmes pare UDSM Business School na COSTECH ambapo wanawasaidia wajasiriamali kuendeleza biashara zao!

  Tutadai hawa wote wana undugunaization lakini je tumechukua hatua yeyote kujaribu! make hata wakikufanyuia mizengwe, mimi naamini siku moja utafanikiwa tu! si wote muwaonao waliofanikiwa wana godfathers and godmothers. Cha msingi ni deternination na kuacha kulalamika na badala yake kujaribu.
   
 9. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Maoni yangu.


  Ukiona unashindwa kuanzisha baishara na kisingizio kinakuwa mtaji, ujue wewe siyo business material unless ubadilike. Usipobadilisha huo mtazamo endelea kutafuta ajira kwa nguvu zako zote, wewe ni employee material.

  Ni maoni yangu, yanaweza yasiwe sawa.

  Pili CRDB ni kweli wana nepotism sana. Karibu kila mtu CRDB either ana ndugu yake wa damu pale au mtu wa karibu. Hii inaanzia kwa Charles Kimei mwenyewe, mwanae wa kike yuko UDSM pale na wa kiume alikuwa Azikiwe.

  Ndiyo maana kazi zao nyingi sana huwa hawatangazi kwenye magazeti. CRDB kazi ni kuitana tu, kazi zinatangazwa ndani kwa ndani watu wanaita ndugu zao. Hii ni hatari sana ukichukulia ile benki serikali ina hisa zake pale. Pia ile imekuwa public company baada ya hisa kuanza kuuzwa DSE inatakiwa iache kuajiri kisanii sanii.
   
 10. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,680
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  kwanza ujue mimi si mwasirika wa hili swala, ila ninawafahamu waathirika kadhaa na wengine wameahidi kufikisha malalamiko yao kwa dr kimei,
  swali lako la kwanza ni kwamba walipewa ahadi na branch meneger kuwa ajira zikitoka watafikiriwa kwanza,
  swali la pili kuna si kwamba waliopewa hawakuwa na vigezo, lakini wadau wanalalamikia mchakato wenyewe jinsi ulivyoendeshwa, ushahidi upo wa baadhi ya watu binafsi ninawafahamu wamebebwa.
   
 11. 2

  2015 Senior Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ww mwanaume mzima unakaa unaleta majungu na ubea hapa jf, mm ni 1 ya walioajiriwa mwezi huo uliopita na sina ndugu wala sikuwa namjua m2 kabla ila uwezo wangu wa kujieleza ndani ya intrvw na vyeti vyangu ndo vimeniingiza na mm sio kabila la kimei. siku hizi ni kampuni nyingi sana haswa mabank huwa hawatangazi kazi ila wanaita wale ambao walipeleka barua. ww unasubirie kazi eeee? km unataka kazi lazima uchakarike na sio ukae km mwanamke anaesubiria kuolewa
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hapo kwenye marafiki wa hovyo hovyo sidhani kama uko sahihi, hivi usipokuwa na pesa tayari unakuwa wa hovyo hovyo? Hujui kwamba hata hao watu unaodhani ni wa maana huwa wanatafuta wa maana wenzao? Umeongea mambo mengi ya msingi, ila kwenye mtaji bado kuna tatizo...lazima tukubali kuwa watz wengi ni wagumu kutake risk na wengi wana roho za kwanini...mathalani mimi nina project ambayo nshaanza kuirun ambapo target ni kucover mkt ya nchi nzima...mpaka sasa hata mzee ninayeishi naye hataki kunisupport...marafiki nao wanahis kama wanataka kudhulumiwa...ebu nipe mbinu hapa nafanya nini, kwani kinachohitajika ni pesa za kununua facilities ili niendelee na production.
   
 13. N

  Ndinimbya Senior Member

  #13
  Mar 17, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Uatpelekaje barua bila ya kuwa na taarifa.
   
 14. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Si kila biashara inahitaji mtaji wa fedha. Kuna biashara zinahitaji know -how tu. Kwa mfano, huhitaji kuwa na fedha kutoa book-keeping services!
   
 15. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hakuna service isiyohitaji pesa...acha kuongopea umma..
   
 16. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mkurugenzi holland house branch, ni kabila ya kimei na ndie confident wake. Anavyopenda kuabudiwa?

  Mtu hela yako ukienda withdraw lazima upite umsalimu ujue mkurugenzi yupo na ni nani

  Sijui nyie wenye akaunti huko mie nilishafunga nakuhamie CBA
   
 17. g

  guccio Senior Member

  #17
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  najua hizi zote ni changamoto za mafanikio...kutafuta ajira na kujiajiri mwenyewe,nachotaka kumwambia huyo bandugu asikate tamaa....kusuccsd in life inategemea na wewe kufulfll yo dreamz,m2 aktaka kuajiliwa haimaansh yupo less kuliko wewe mwenyewe spirt ya ujasiliamali,kuna wale wanaotaka kujenga mafanikio kwa careerz za daraxan xo lazma aingie kwenye organzatn na kupanda kwenye ngazi ya corporat..na kuna wale wanaotaka kustart thr own buznes,just follow yo dreamz n neva looz hope,huwez jua mayb yo the next charlez kmei o the next regnald meng....usiishi ndoto ya m2 mwngne ish ndoto yako.
   
 18. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Subiria taarifa utaletewa mdomoni utafune wenzako tushapiga intervw km 6 na kupata kazi 4 kwa mtindo huu.
   
 19. j

  jobseeker Member

  #19
  Mar 17, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  you are joking wright? unasema kuna watu wanapesa na kama una idea wanakupiga jeki bila ya kuona ni namna gani utaendesha biashara hiyo, bila kuona kama kwa muda gani umeendesha biashara yako hiyo, bila kuona ni vipi utaweza kurejesha pesa zao, wanakupa tu pesa? unachotakiwa ni kuwa na idea tu basi? well kama ni kweli basi ni kweli tanzania ni tambarare.
   
 20. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  sasa huo tribalism alioupinga mzee mzima baba wa taifa kwann waanza kuonekana tena na serekali yatizama 2
   
Loading...