Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Ivi zile barua tulizotuma za nafasi za kaz kwenye secketariati ya ajira ambazo dedline ilikuwa tar 8 mwez huu inteview yake ishafanyika?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Niaje wadau jana nilipigiwa cm na organisation moja inayohusika na maswala ya ajira nikafanye interview ya customer care kwa yeyote mwenye uzoefu na hii sekta plz help me on the posbo questions plz
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Niaje wadau wa jf? Kwa wale walioko Access bank nimesikia hii bank inatoa mikopo hata kwa dhamana ya gari,so nipo mkoa duty station home ni Da nina gari ndogo ya biashara i.e tax nataka kuiombea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu kuna wizi mpya unaotumiwa na kampuni inayotoa huduma kushirikiana na makampuni yetu ya simu za mnkononi inayojitangaza kupitia radio ya clouds FM, kwamba wanauza magari...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
WAKUU HABARI. Kiwanda kipo DAR. anahitajika mtu mwenye kujua chemistry atatakiwa kufanya kazi ya kupiga mahesabu how to mix to make some alloys. atafundishwa asiwe na hofu. ambaye yupo tayari...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau mgodi wa tulawaka wametangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo - operators (post 10) - security (post 15) - supervisor (post 7) wenye vigezo kazi kwenu tumeni kwa email hii...
4 Reactions
36 Replies
8K Views
Kwa waliofanya manager interview ya PWC kuna yoyote aloitwa for patners interview.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hizi benki jamani huwa csikii kabisa wakitoa nafasi au wenzangu mshasikia?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
kuna yeyeto aliepata habari kuhusu interview ya TRA tarehe 25 jumatatu? msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF. Naulizia kama kuna mtu ana information zozote kama mashirika husika hapo kwenye title wameita watu kwa usaili maaana walitangaza kazi more than 2 months ago!! Au ndo tayari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu bosi kaniita na anahitaji CV za garduates wa Mechanical Engineering Wanaograduate mwaka huu au waliograduate mwaka jana kwa level ya Diploma na zinahitajika kesho asubuhi so If there is any...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi wahusika wa hii post walishaitwa au bado wakuu? Nijuzeni tafadhali
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau kuna watu tulifanya interviw ya kuongea ya treh 19 marchh 2012,wale wenzetu tumefanya nao wameitwa kwenye post zao bt sisi yetu ya investigation officer bado kweli iyo hakiiiiiiiiiiiii??????????
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu zangu me huwa siamini ushirikina hla kwa tukio hili naamini upo coz tuliitwa kwenye interview na jamaa akanambia twende kongowe kwa babu yake hili tufanikiwe maana interview ilikua 1 tu ya...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
new jobs International Capacity Building Coordinator Organizational Development Coordinator Press Accredition(ZIFF,Zanzibar) visit THE GLAMOUR JOINT for full details on these posts!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, I have a Dell laptop, 500gb, windows7, 4khz ram speed, with fully internet connections.....i pretty much confident to work for somebody who is busy, have always been having pending...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kuapply tangazo lao la kazi huko Uranium Songea,fasta wakanipigia simu wakadai wapo kwenye mchakato wa kuita watu kwenye interview lakini tutangulize kwanza laki 2 kwa M-PESA...
9 Reactions
37 Replies
5K Views
Kazi nyingine za Cabin Crew, RwandaAir East Africa Job Board::Free jobs for all in Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda and South Sudan: Cabin attendants at RwandaAir in Kigali,Rwanda Asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HI. WANATAFUTWA AGRONOMIST AU AGRIC-GENERALIST WENYE EXPERIENCE YA COFFEE FIELD MANAGEMENT. PLEASE KAMA UNA NDUGU,JAMAA,JIRANI, AU RAFIKI ASISITE KUFORWARD CV YAKE TO hrd@enrichafrica.org or...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
VIP WADAU KUNA MTU YEYOTE MWENYE INFO KUHUSU NAFASI ZA STATE ATTORNEY INTEVIEW WAMEITA?:majani7:
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom