ndyoko JF-Expert Member Nov 2, 2010 4,971 1,650 Jun 21, 2012 #1 Hivi wahusika wa hii post walishaitwa au bado wakuu? Nijuzeni tafadhali
E Eberhard JF-Expert Member Dec 20, 2010 1,120 757 Jun 21, 2012 #2 kaka chance hizi wanagawana wenyewe. Hata mimi niliapply.
Ndechumia JF-Expert Member Jul 15, 2011 1,103 418 Jun 21, 2012 #3 ni ajab watu wanatangaza kaz kwa gharama kubwa, tunapoteza mda na resource nyingi kuomba, alaf hawa ajiri, hii ni kukatishana tamaa
ni ajab watu wanatangaza kaz kwa gharama kubwa, tunapoteza mda na resource nyingi kuomba, alaf hawa ajiri, hii ni kukatishana tamaa