sekretarieti ya ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sekretarieti ya ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ndamaempire, Jun 20, 2012.

 1. n

  ndamaempire New Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau kuna watu tulifanya interviw ya kuongea ya treh 19 marchh 2012,wale wenzetu tumefanya nao wameitwa kwenye post zao bt sisi yetu ya investigation officer bado kweli iyo hakiiiiiiiiiiiii??????????
   
 2. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  They must av their reason..patient is a secret of fortune, kip on waitin!
   
 3. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ukiona haujaitwa jua haujachaguliwa.
   
 4. p

  panadol JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mvumilivu hula mbivu,kuwa mvumilivu mkuu mtaitwa tu!
   
 5. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  hahaha tatizo la shule na vyuo vyetu vinatufundisha kumfanyia kazi mtu au shirika na hatufundishwi jinsi ya kufanya kazi zetu binafsi owning your big biz....pole mwenzio siko huko nowdays i am owning my life
   
 6. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60

  hapo kipi kimekufanya ucheke mkuu? watu wana ndoto zao maishani, na ndoto izo zinatimia pale tu, atapokua kazini, leo hii Ndama mtoto wa n'gombe, chief kiumbe, Ray kigosi, ndo wanapesa na niwafanya biashara wakubwa KAMWE hawawezi kua CAG, GOVERNOR, CHIEF ACCOUNTANT etc, kwaiyo acha watu watimize ndoto zao maishani, ww ndoto yako ni pesa, siwezi shangaa leo tukiskia Cameroon kaingia mkataba na ww coz ndoto yako ni pesa.
   
 7. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mbona unatokwa jasho, umetumwa kuleta ur personal interest...kama una own ur life then hope to c u living forever, congratulation 'god'
   
 8. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,734
  Trophy Points: 280
  Vuta subira.
   
 9. K

  Kimboko Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HAlafu hao tume ya ajira iwe akini na vyeti feki aaa wamerundika ajira zimetoka nyingi kwa wingi na watashindwa kujua feki au si feki. Wawe makii saa wataajiri mabomu
   
Loading...