Mwenye diploma ya chemistry anahitajika.......

Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,185
455
WAKUU HABARI.
Kiwanda kipo DAR. anahitajika mtu mwenye kujua chemistry atatakiwa kufanya kazi ya kupiga mahesabu how to mix to make some alloys. atafundishwa asiwe na hofu.
ambaye yupo tayari atume credentials zake ikiwemo diploma yake na short cv ...... sogeamoja@hotmail.com
thanks
 
mimi nina degree ya education in science so nilimajor chem na qualify?
 
ni kwa ajili ya mwenye diploma tu. mwenye degree hatakiwi. just to do some simple calculations za ratio za elements kwenye compound. hata form iv anaweza lakini anatakiwa mwenye diploma.
 
ni kwa ajili ya mwenye diploma tu. mwenye degree hatakiwi. just to do some simple calculations za ratio za elements kwenye compound. hata form iv anaweza lakini anatakiwa mwenye diploma.

kiasi gani kwa mwezi
 
Back
Top Bottom